JK aongoza mazishi ya Mkuu wa Majeshi mstaafu Mwita Kiaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aongoza mazishi ya Mkuu wa Majeshi mstaafu Mwita Kiaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnyanyaswaji, Apr 14, 2012.

 1. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau wajamvini Habari,

  Jamani tuweni makin na post za kupotosha na za udaku, kuna mdau anajijua aliweka post kuwa Kanumba kaagwa mpaka na rais lakin Kiaro na Mkuu wa mkoa, unajua udaku kama huu utapoteza maana halisi ya Great Thinkers. Point yangu hapa si kuleta taarifa ya JK kuongoza mazishi ila kuwaambia wadau wasio na uhakika na info zao halafu wanazimwaga humu. Mbona kuna majukwaa mengi tu ya udaku!!
  Nawakilisha.
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Alipewa coverage gani, Habari leo na TBC wanafanya ushabiki wa KiCCM.
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa tutaharibu JF, kama hii ni kweli basi itakua aibu sana kwa post za namna hii.
   
 4. SoNotorious

  SoNotorious JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 2,426
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  leta picha
   
 5. S

  Silent Burner Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...Stein, Jibu hoja si kuingiza TBC hapa. TBC wanahusika vipi na umbea ulioletwa?


  Binafsi naunga mkono hoja.

  Katika ile thread, watu walizama kwenye full-ushambenga.

  Ni aibu sana kwa hili jamvi na kwa wanaothubutu kujiita Great Thinkers.

  Wanaigeuza JF kama kijarida cha udaku
   
 6. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SoNotorius, kwa kuepusha muda tu na haka kasenti changu cha kudownload hata michuzi kaweka pics so unaweza tembelea hapa kama source nayo..Pamoja Mkuu
  MICHUZI
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kamanda Sanga Ukonile Babene! Thread za humu Jf sio kama zinaharibu, hizi ndio zinawaamsha wanafanya kufikiria wanapotaka kufanya vitu vya hovyo hovyo, kama Kikwete hakutaka kwenda kumzika Gen Kiaro basi michango ya jf imemfanya afikirie mara mbili kwenda huko kabla ya kufunga safari ya kwenda kuzika huko Malawi. Jf mchango wake ni mkubwa sana na Kikwete hutembelea sana Jf na hiyo nimedhilisha alipokuwa anazindua tume juzi alizungumza juu ya watu kutoa mawazo yao kwa kutumia mablog.
   
 8. M

  MAMC Senior Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siungi Mkono thread zisizo na uhakika.Ila yule Mdau alikuwa na mantiki pia;kivipi?
  1. Coverage ya huu msiba wa mecha cheneral imekuwa hafifu mno!labda 10% ya Kanumba (hata issa michuzi hatujaona mi picha kama tuliyowekewa kwa Kanumba -toka Sinza,etc) .sasa tungejuaje kama kama JK kaenda ikiwa Huyu Mdau asingepot ile thread yake uwenda hata wewe usingeandika hii.

  2. Uwenda pia JK kaamua kwenda baada ya kusoma ile thread na kusema ah!nisipoibuka itakuwa soo!mama hadi leo asubuhi ma redio yoote yalikuwa kimyaa,as if huu sio msiba wa gesi, au mambo ya gesi huwa ndo yanapelekwa ki hivyo?
   
 9. b

  bansenbana Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  This is a forum of ill wishers not even normal thinkers
   
 10. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka hata mitandao ya jamii(michuzi) wameweka picha sio tu kila kitu mnaleta ligi zisizo na maana.. tembelea uridhike
   
 11. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio hiyo tu, walishapotosha pia kuhusu kuapishwa kwa kaMATI YA KATIBA.KUWA ETI APRL 30. Wanakera sana. Kwa nini upotoshe? Toa kitu ambacho kitasaidia kuwa inf watu.thx
   
 12. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1 Mkuu wa Jeshi la polisi Marehemu Mahundi alizikwa bila Rais kwenda kuhani. Alipokuwa njiani kwenda kwa Kanumba akakumbushwa kwa watz hawatakuelewa, anzia kwanza msibani kwa Mahundi ndipo uende kwa kipenzi chako SK.

  2. Jumatatu Bunge mjini Dodoma walisimama dakika moja kumkumbuka Kanumba, wakati Mahundi alikuwa tayari ameshazikwa hawakuona kama ni wa muhimu

  3. Siku iliyofuata baada ya kifo cha Gen Kiaro, bunge halikusimama kama walivyofanya kwa Kanumba.

  4. Siku ya pili baada ya kifo cha Gen Kiaro na ya tano tangu azikwe Mahundi, ndipo Bunge wakakumbuka na kusimama kwa wote kwa ujumla.

  Hili kwa taifa sio sahihi. Hivi thamani ya Mahundi inazidiwa na ya Kanumba kweli watz wenzangu kiasi cha kukumbukwa kwa mafungu siku tano baada ya kuzikwa?

  Hivi thamani ya Gen Kiaro inazidiwa na Kanumba? kwa lipi? Mkuu wa majeshi wa nchi! Aliyepigana vita na nduli Idd Amin?

  Mnyanyaswaji ukumbuke "kawaida ni kama sheria". Mleta mada alijua kuwa kama kawaida hatakuja, mbona alishindwa kwa Mahundi pale Dar na alikuwepo sembuse mbali kama Musoma/Tarime!   
 13. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MAMC yaweza kuwa dhana tu tuliyofikiria wadau, hivi kwa akili ya kawaida unaona ingewezekana asiende kama yupo nchini?? Tuwe fair jamani sio tunakuwa watu wakupinga tutakuja kudhalisha taifa la wabishi mbele ya safari
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  hamna kitu hapo huwa jk anapitaga hapa jamvini akakuta post inamchana live akaamua kujipendekeza kwenye msiba wa jenerali... kwani we humjui jk ebo...
   
 15. b

  bansenbana Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Inawezekana hata kuwa JK alitoa 10 mil ni fix
   
 16. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sexon2000, atleast we umeonyesha uchanganuo ambao unaendana na ukweli. Big up Mkuu
   
 17. S

  Silent Burner Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Hujui unachokisema wewe!!
  Ile topic bado ni " valid" kabisa, haina shaka yoyote.
  Mtoa mada alizungumzia kuhusu KUAGWA na sio KUZIKWA, tofautisha wewe kilaza!!!
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwenye mazishi ya mkuu wa zamani wa jeshi la polisi alikuwa nje ya nchi?
  Nimejaribu kuangalia huko kwa Michuzi kaweka picha mbili tuu.
  Jenerali Kyaro alikuwa ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania.
  Jenerali Kyaro alistaafu akiwa amelitumikia jeshi kwa miaka 50, miezi 11 na siku 13.
  Ninarudia: alilitumikia taifa kwa miaka 50, miezi 11 na siku 13.
  Jenerali Kyaro pia alishikri kikamilifu kumwondoa Idd Amin
  Jenerali Kyaro ameacha sifa ya uaminifu ambayo haijavunjwa jeshini baada ya CDF pekee
  Jenerali Kyaro alikuwa mwadilifu, mwaminifu, mchapakazi na mpiganaji wa kuigwa
  Jenerali Kyaro alifia hosipitali ya Bugando Tanzania akipata matibabu.
  Jenerali Kyaro hakupelekwa India kama wanavyopelekwa wengine.
  Jenerali Kyaro alipofariki msemaji wa jeshi alipoulizwa alisema kuwa bado hawajafahamu kwa kuwa hawajapata taarifa za madaktari (Alikuwa ametelekezwa?)
  Jenerali Kyaro alistahili kupewa heshima ya juu kabisa na taifa zaidi ya aliyopewa leo.
  Kuna watu wanaponda maisha ya raha mustarehe kutokana na upiganaji wa Jenerali Kyaro.
  Hapo nimejaribu kuwa fair kabisa kwa Jenerali Kyando kwa kuonyesha jinsi alivyolitumikia taifa na sio alivyolidhalilisha taifa kwa sababu hajawahi kulidhalilisha hata dakika moja.
  REST IN PEACH MPIGANAJI JENERALI KYANDO
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Mbona kwa rtd IGP Mahundi hakwenda, tena alizikwa hapa hapa Dar.... Mama wa Kanumba alilambishwa 10m na JK kama rambirambi. Mjane wa Jenerali Kiaro alilambishwa mkono wa pole. Chezeya JK weye?
   
Loading...