Je wajuwa usiri wa serikali ya mkapa na lawama wanazo mtwisha ******! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajuwa usiri wa serikali ya mkapa na lawama wanazo mtwisha ******!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Apr 14, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Jamani watanzania tuache ushabiki tuwe wadadisi wa mambo. Rais huyu wamemtwika lawama nyingi ila ukweli ni kwamba Mkapa alikuwa akiongoza serikal kwa mkono wa chuma, wakati huo watanzania tukifichwa mauwozo yaliokuwa ndan ya serikali yake. Take from me that is y akajiwekea kinga japo itaenda kuondolewa na watanzania mtamjuwa mbaya ninani. Kwa habari za chini yasakafu, kikwete ameachiwa mabomu meng akajikuta akihaha kuiokoa serikali wakati mambo yapo adharani. Utawala wake ndio maana umeachia vyombo vya habar vimulike uwozo huo uku takukuru wakiwa namalundo ya kes za vigogo wasijuwe lakufanya kutokana nasheria mbovu so all tanzanian tuombe Mungu tupate katiba mpya mambo yatakuwa mazuri..
   
 2. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Naona ubongo wako una makengeza ndiyo maana unafikiri kikushoto kushoto
   
 3. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe b.w.e..e nn? Kwan alichsema Kina uongo gan mpaka unakurupuka kama umetoka choon
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  yawezekana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kama kinga anayo Mkapa je wengine waliokuwa chini yake? Mbona tumeona ni Mramba, Yona, Mahalu na Liyumba ndio wamefikishwa mahakamani au na wengine wa EPA, Green, nk nao wana kinga kama Mkapa?
   
 6. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Apson Mwang'onda
   
 7. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda ungeainisha hapa hizo lawama moja baada ya nyingine ili tujadili ukweli wake. Hayo mabomu aliyapokea toka kwa nani kama si Ben. Change the way you think!
   
 8. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtetezi mpya wa mtawala.
   
 9. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Mkapa ni Fisadi, tunasubiri Ukombozi 2015 tutinge nae Mahakamani. Mwizi wa mali yetu ya Umma
   
 10. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hakuna kiongozi asiye na mapungufu kwa hiyo ukiondoa kinga kwa viongozi wastaafu hakuna atakayesalimika, iwe A H Mwinyi au J K Nysrere. Kila mmoja ana madhaifu yake..
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wacheni Mkapa apumzike amefanya mengi mazuri kama binadam atakuwa na makosa...
   
 12. CHIHAYA

  CHIHAYA Senior Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  epson mwang"onda atajificha kwenye mikahawa ndani ya shamba lake kule mbozi mambo ya epa yakiubuka vizuri.
   
 13. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Na sisi Walalahoi tuliotendewa mabaya mbona hatupumziki? Hapumziki mtu hapa mpaka Mafisadi watiwe jela? Kama kupumzika huyo Fisadi Mkapa atakwenda kupumzikia Jela na Mafisadi wenzake waliopo Magogoni na Dodoma.
   
 14. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  umeona eeh mkuu; huyu jamaa kwa maoni yangu binafsi ni mtuhumiwa na.2 baada ya mzee Ben
   
Loading...