Wabunge wetu nao watajwa katika ubadhirifu wa pesa zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu nao watajwa katika ubadhirifu wa pesa zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Apr 14, 2012.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Tangu jana nimekua nikiisoma ripoti ya Serikali Kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka wa fedha 2010/2011 yenye kurasa 191. Nilipofika ukarasa wa 90 nikashtuka kuona baadhi ya wabunge wetu wametajwa kuchukua pesa za Perdiem kwa ajili ya vikao vya Bungeni mjini Dodoma wakati hawakuwepo Dodoma. Sehemu ya ripoti inasomeka hivi:


  Sasa mimi najiuliza kama ripoti imepelekwa kwa Wabunge ili watoe hukumu wakati baadhi yao wanatumiwa ndani ya ripoti. Je tutarajie nini? Nafananisha kesi hii na ule msemo wa kesi ya Ngedere unampelekea Nyani.
   
 2. k

  kalistibukhay Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni attacctment ya ripoti yenyewe mwenye nazo
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bunge kama taasisi haihusiki na ubadhirifu huo hivyo wabunge wanaweza kabisa kuwawajibisha wenzao waliohusika.
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nenda kwenye Website ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali. Ripoti zote zipo kuanzia za Mashirika ya Umma, Serikali za Mitaa, Serikali Kuu nk.

  Link hii hapa
  : National Audit Office of the United Republic of Tanzania
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Sawa nakubaliana na wewe lakini ni lazima wakati ripoti hiyo inajadiliwa watumiwa watoke nje ya Bunge maana Bunge halitakuwa la Maana kuwawajibisha wenzao waliohusika wakati wahusika wameshiriki katika Kikao cha Maamuzi ya kuwawajibisha.
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Natamani majina na vyama wanavyotoka wabunge husika yawekwe bayana na kisha tushinikize wajiuzuru kwa kutokuwa waaminifukwa umma.
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hakuna aliyesalimika,
  waliosalimika ni wale waliokufa au wale ambao hawajazaliwa!
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana jamaa wanalipwa kwa kusinzia na kupiga makofi bungeni.
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Na kama kungekuwa na wagombea binafsi?????
  Kwenye ukweli na tuujadili bila itikadi ya vyama. Tusipokuwa makini hii dhambi itakuja kutula kama udini na ukabila.......ushaambiwa wamekula posho na hawakuwepo wewe unaleta hoja ya chama mtu anachotokea isaidie nini wakati mwivi ni mwivi tu hata kama hana chama

  Mytake; Yangewekwa majina yao hao wadaiwa wetu ili tuwajue at a personal level na sio kwa vyama vyao
   
 10. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Usishangae siku majina yakitajwa ukaambiwa Lusinde a.k.a chizi wa kuzaliwa yumo!
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Yamepita mengi yakiwepo Richmond, EPA, RADAR, NDEGE YA RAIS,KUUZA TEMBO NA TWIGA UARABUNI YA MPONDA NA NKYA NA HILI LINAPITA TUUU!!SISI TUANDIKEANDIKE HAPA ,MASAA YAENDA TULALE!!
   
 12. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani watakuwa wa magamba, kwani bibi kiroboto alikuwa anawabania wabunge wa CDM wasisaini ili wasilipwe
   
 13. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sina utaalamu wa sheria, lakini nakumbuka sheria mama inatutaka watanzania wote tulinde rasilimali za nchi hii, waqnasheria wetu si mutusaidie kuwashtaki hawa majamaa? Hii ni aibu yetu sote!
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  hivi mtikila yupo wapi? Hawezi kuwaburuza hawa jamaa mahakamani?
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Katiba inakuruhusu kuwaburuza, mpokee kijiti mtikila.
   
Loading...