Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Natural, Apr 13, 2012.

 1. N

  Natural Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello Bandugu:

  Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi

  Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!
   
 2. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Angalia post ya muasisi inaelekea hukumuelewa vyema! uwe makini na post zinazoletwa hapa jamvini!
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  He is very very natural
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,572
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ..very good.

  ..mimi sipendi hata kumtaja MUNGU kwenye hivi viapo.
   
 5. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda.
   
 6. Encyclopaedia

  Encyclopaedia Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haina dini
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama kigezo ni kuwa na hofu ya MUNGU,mbona hao tunaowaona kutwa kwenye nyumba za ibada hajatufanyia haki yoyote?
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  namkubali sana, hasa akivaa bangili yake. Dini ni sumu na wizi mtupu
   
 9. g

  goodluck tesha Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera baregu kukataa ukoloni na utumwa.dini kwa sasa ni unafiki.unaweza ukatumia quaran au biblia na bado ukafanya upuuzi.kataa unafiki.
   
 10. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
  Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.
   
 11. M

  Miruko Senior Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nasikia hana dini
   
 12. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,234
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Kwa hesabu za Mtei wakristo wanazidi kupungua kazi kweli kweli.
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ule ulikuwa mtego..wamkatali waone. asinge apa na angejitoa kwenye tume halafu walio baki wangejibeba. Ile tume aliye ishikilia au anaye ifanya kidogo iheshimike ni baregu tu. ajitoe uone kinacho fuata ITV.
   
 14. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,175
  Likes Received: 7,360
  Trophy Points: 280
  asante ametuwakilisha.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Amewakilisha wasio na dini.
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,598
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Kama maana yake ni kutokuwa na dini, namshukuru.
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Ulitaka aape kwa Quraan au biblia unajua dini yake?
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  chali angu una kiherehere!
   
 19. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,123
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Huyu Prof. ana element za secular humanism.Hapa nadhani atakuwa na lengo la kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya kwa njia za kisayansi na falsafa.
  Ni indicator nzuri kwamba udini hauna nafasi kwenye utendaji wake.Hapa ndipo ninapo waheshimu sana wasomi kwa sababu wako well organized.
   
 20. n

  nketi JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He! Mi nilidhani kingunge yuko peke yake.
   
Loading...