Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na wanasheria na great thinkers tuipitie tuone
2 Reactions
8 Replies
2K Views
IBARA YA 55 INAMRUHUSU RAISI KUMTEUA MBATIA KAMA WAZIRI NA KAMA ATAKUWA NAIBU WAZIRI KAMA INAVYOSEMEKAKA NGUVU YAKE ITAKUUWA NDOGO KWANA HATAKUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI 55.-(1) Mawaziri...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Samahani kama nitawakwaza baadhi ya watu. Lakini kutokana na kelele nyiingi ambazo nimekuwa nikizisikia kupitia vyombo vya habari kuhusu wa-zanzibari kuto utaka muungano kati yao na Tanzania bara...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mawaziri wapigwa 'stop' Katika hatua nyingine mawaziri wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile ambacho kinaelezwa kuwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari kuwa Kikwete anakubaliana na wabunge katika mjadala wa kuwawajibisha mawaziri kwa wizi wa pesa za wizara na idara mbalimabli haziwezi kupita bila kuuliza maswali ya msingi. Kwanza inabidi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate. Updates...
3 Reactions
128 Replies
14K Views
Huu ndo ulikuwa utetezi wa dr,chami kwa wabunge wa ccm katika kikao chao cha huko dodoma, yeye chami anaamini wapiga kura wa moshi vijijini wataendelea kumchagua kwa kuwa ataendelea kubaki kwenye...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Naibu katibu mkuu wa cdm mh zitto kabwe,anatarajiwa kuongoza harambee kata ya igoma mwanza mei 12 kwa lengo la kukusanya sh ml 100. Lengo la harambee kununua kiwanja cha ofisi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inanipa shida kuamini kama mahakama zetu zinatenda haki hasa pale ambapo mshitakiwa ni kiongozi wa serikali au mfanyabiashara mkubwa hata kama kuna ushahidi uliojitosheleza. Kwa hali hii 2015...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Hatima ya ubunge wa Opulukwa leo By Habari Leo MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Meatu katika mkoa mpya wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kulingana na taarifa za mojawapo ya magazeti ya leo, mawaziri wote walioko kwenye ziara huko mikoani wametakiwa kurejea Dar Es Salaam na kuyapeleka magari yao wizarani. My take: Rais anaweza...
1 Reactions
104 Replies
11K Views
Hivi inawezekana Raisi kutaja Baraza Jipya la Mawaziri kabla ya Budget? kwahiyo makatibu wa wizara ndio wataanda Budget za wizara mara hii? Hili Baraza litavunjwa baada ya Budget kama sikosei.
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Hukumu ya kupinga ubunge wa mhe,OPULUKWA (CHADEMA) jimbo la Meatu inatarajiwa kutolewa kesho katika mahakama kuu kanda ya Tabora itakayotolewa mjini Maswa,kesi hiyo ilifunguliwa na kada wa Ccm...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je, ukiulizwa ni kosa gani Mawaziri wamefanya utashindwa kufafanua, hiyo yote ni ushahidi tosha ya kwamba hakuna ulazima wa kuunda Baraza jipya la Mawaziri. Nikuulize wewe Mwana JF ni kosa gani...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wana JF, Naomba someni hii kwani itaweza kumsaidia kila mmoja wetu. Walichokifanya Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Kwanza Ni sawa na mfano wa Muhogo hapa chini: - Jamaa mmoja alikufa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari hali ya siasa na mchango wa vijana katika maendeleo ya Jamii. Mungu amenijalia kutembelea maeneo mengi ya nchi yetu kama mji magharibi, Unguja kusini, Mwanza, Arusha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja
0 Reactions
54 Replies
13K Views
Inaumiza ccm kupandikiza wafuasi wengi huku upinzani na sisi tuaendelea kuwapokea bila kuwachunguza. Yaani wamekuja na kushika madaraka na kuwazuia wapinzani wa kweli wasiweze kushika madaraka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom