Bado mwezi Mmmoja Budget.

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Hivi inawezekana Raisi kutaja Baraza Jipya la Mawaziri kabla ya Budget?

kwahiyo makatibu wa wizara ndio wataanda Budget za wizara mara hii?

Hili Baraza litavunjwa baada ya Budget kama sikosei.
 
Tangu lini bajeti ikaandaliwa na waziri!

Waziri anasimamia sera na ilani ya chama chake; na wataalam wengine chini ya wakurugenzi na katibu wanaandaa bajeti kulingana na mgao utakaotokana na makusanyo ya fedha.
 
Ileje Elimisha iyo jamaa,waziri kazi yake kubwa naona ni kusoma pale bungen baada ya kuletewa desa na kupewa some highlights kitu ambacho ata wewe Vivian Unaweza then next kufuatilia utekelezaji
 
Back
Top Bottom