Hukumu ya kupinga ubunge wa mhe,OPULUKWA (CHADEMA) jimbo la Meatu inatarajiwa kutolewa kesho katika mahakama kuu kanda ya Tabora itakayotolewa mjini Maswa,kesi hiyo ilifunguliwa na kada wa Ccm Masanja Salu aliyekuwa katibu wa mbunge aliyeng'olewa Salum Hamis Salum aka Jambo au Salum mbuzi akipinga ushindi kwa hoja 4,
1.Analalamika kuwa wakati wa kampeni mgombea wa ccm ambaye ni mwarabu alibaguliwa.
2.Analalamika kuwa wakati wa zoezi la kupiga kura wasimamizi walimpigia kampeni mgombea wa chadema
3.Analalamika kuwa wakati wa kujumlisha kura hali ya usalama uli kuwa mdogo katika ofisi za msimamiz wa wilaya.
4.Hoja ya nne anadai kuwa msimamiz wa uchaguzi bi.UPENDO SANGA alitoa matokeo mara mbili kwenye tume na kwenye gazeti la mwananchi,hivyo anaiomba mahakama hyo itengue ushindi na kumpa mgombea wa Ccm Salum H.Salum