Lini tutapata wapinzani wa kweli watutoe hapa tulipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini tutapata wapinzani wa kweli watutoe hapa tulipo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sema Chilo, May 3, 2012.

 1. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaumiza ccm kupandikiza wafuasi wengi huku upinzani na sisi tuaendelea kuwapokea bila kuwachunguza. Yaani wamekuja na kushika madaraka na kuwazuia wapinzani wa kweli wasiweze kushika madaraka, sasa wana jamii lini tutaweza kuwatambua hawa? kwani siku tukiwatoa tu basi UKOMBOZI utakuja but tukishindwa tujue hakuna ukombozi nchi hii, NINI TUFANYE?
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wewe wawajuaje kama wamebadirika au la? Sisi wakiristo tunafahamu kuwa Sauli{PAULO} alikuwa gaidi na muuaji mkubwa wa wakiristo, lakini ndiye huyo huyo mtume aliyewakomboa binadamu wengi na dhambi zao. Mtu akitokea ccm anaweza kuwa bora kuliko mwingine yeyote yule. Tusiwahukumu, bali tushirikiane nao tujenge nchi yetu pamoja.
   
 3. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Start with the person infront of the mirror

   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wakuu! mi sioni tatizo Mkulu kumteua mbatia...! mbona inatokea sana duniani Rais kuteua mpinzani wake kukamata idara flani...?! tumuacheni mbatia ajaribu labda ataleta mabadiliko
   
 5. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini kafanya la maana MBATIA akiwa Upinzani? kama kuwawekea pingamizi CUF, Kumkatia rufaa Halima Mdee japo viongozi wenzake NCCR kumzuia hilo jambo na ndio kisa kikubwa cha MH KAFULILA kutolewa kafala na mambo tele tu. Na vipi huyo mzee Mapesa? unamwamini? hata ZITO mhhh nawasiwasi.
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM ikishatoka madarakani tutapata ukombozi wa kweli. Kuweni na ushahidi wa kutosha kabla ya kuandika mada kwenye mtandao, unaweza kuwataja hao unasema wamepandikizwa na CCM na kupewa uongozi?
   
 7. m

  maramojatu Senior Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wapinzani wa kweli tunao. shida ni wewe tu. Kama mbatia alishapoteza mvuto wa kuchaguliwa hata uenyekiti wa mtaa. Mwache jk amtoe sasa. jamaa amesota sana. na kuchaguiwa na watu haiwezekani
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wapinzani wa kweli wapo.TAFAKARI
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo siyo kweli...kabla ya chaguzi zilizopita mbona tulikua tunasikia viongozi wa vyama vya upinzani wanahamia ccm mbona mlikua hamsemi kua viongozi wa upinzani wanapelekwa ccm kuisambaratisha...??!!
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mimi nataka kukuuliza wewe mwenyewe hata kama ni mfuasi wa upinzani leo rais akuteue mbunge utagoma kweli?Bro achana na siasa kabisa ni mchezo wa kinafki zaidi.
   
 11. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiwa mpinzani wa kweli lazima ugome kwani ukienda huko utatimiza SERA za chama gani? kwani kila chama kina sera tofauti ndio maana kuna vyama tofauti.
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tupe listi yao hao waliokuja na kushika madaraka na sasa wanazuia wapinzani wa kweli wasishike madaraka.
   
 13. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unafikiri NCCR hakuna wapinzani wengine zaidi ya huyo mwenyekiti wao aliyepewa ubunge? Sasa wapo wengi sana katka hivi vyama vyetu
   
Loading...