Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, May 4, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

  Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned

   
 2. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mungu ibariki CHADEMA.Tuanze na Mungu na tumalize na Mungu. Hopefully tutashinda.
   
 3. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Uvumilivu ni muhimu sana maana kuna watu hujifanya wao ndo majaji wa hz kesi.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Sina Imani na Mahakama. Nukta.
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Nitajie jina la Jaji niandae CV yake..
   
 6. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Pamoja na kumuombea John John Mnyika, naomba utujue sisi ambao tupo nje ya mahakama
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huna imani na nafsi yako utakuwa na imani na kingine chochote?
   
 8. Kesho Uanzia Leo

  Kesho Uanzia Leo Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni msaada, ivi leo ndio hukumu inasomwa au ni siku ya "Final Submission"?
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  "Serikali inaingilia uhuru wa mahakama" Jaji mkuu.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sina imani na mahakama kwasababu wanatumika na ikulu lolote tunaweza kulisikia...
   
 11. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Jaji Upendo Msuya
   
 12. M

  MAKAWANI Senior Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama hukumu ni ya haki Polisi wa kazi gani? Me nadhani hukumu wanayo polisi! Hili ndo lanalotufanya tusiiamini mahakama yetu maana wanafanya hukumu ionekane kama utabiri wa hali ya hewa ambao unabadilikabadilika kutokana na tabia nchi!
   
 13. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kila la heri Makamanda.
   
 14. H

  Hingi Jr Senior Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi kesi yenyewe ilivyokwenda,nategemea leo ndio mwisho wa Mnyika.Maana ushahidi wote umeonyesha madudu yaliyofanyika wakati wa kuhesabu kura.CCM tumejiandaa kwa uchaguzi mdogo kwani hatutapoteza tena jimbo la Ubungo.

  Mungu wape moyo wa uvumilivu wasiyokubali haki kutendeka wakati wanajua fika makosa yaliyofanyika kupitia Laptops za CDM.Poleni sana.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nilisikia kuwa kesi hii imekaa vibaya kwa Mnyika, sijui kama atapona....
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  leo mawe yataongea, na sisimizi watatoa sauti, viziwi watasikia...
   
 17. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu ibari chadema yetu.
   
 18. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Mungu yupo upande wetu wala tusihofu.
   
 19. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Jaji Upendo Msuya ndiye alimhukumu Babu Seya simwamini saaana
   
 20. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole mnyika leo ndg yangu ubunge basi,nape anapiga jalamba
   
Loading...