Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
1,195
Kulingana na taarifa za mojawapo ya magazeti ya leo, mawaziri wote walioko kwenye ziara huko mikoani wametakiwa kurejea Dar Es Salaam na kuyapeleka magari yao wizarani.

My take: Rais anaweza kufanya uteuzi wa mawaziri wote wapya!
 

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,713
2,000
Kulingana na taarifa za
mojawapo ya magazeti ya leo, mawaziri wote walioko kwenye ziara huko
mikoani wametakiwa kurejea Dar Es Salaam na kuyapeleka magari yao
wizarani.

My take: Rais anaweza kufanya uteuzi wa mawaziri wote wapya!

sio lazima na haitakuwa hivyo. ila ni wachache watakaorudi kwny wizara zilezile. kurudisha magari ni dalili baraza litatangazwa leo.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,728
2,000
Kulingana na taarifa za mojawapo ya magazeti ya leo, mawaziri wote walioko kwenye ziara huko mikoani wametakiwa kurejea Dar Es Salaam na kuyapeleka magari yao wizarani.

My take: Rais anaweza kufanya uteuzi wa mawaziri wote wapya!

Si kweli kwanza kama uteuzi huo utafanyika leo au kesho basi by default Waziri Mkuu ni Mizengo Kayanza Peter Pinda.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,728
2,000
Pia anaweza kuteua mawaziri walewale kwa wizara tofauti na walizokuwa mwanzo. Vipi na Pinda naye kaambiwa arejeshe?

Mkuu Ulukolokwitanga dalili zoooote zinaonyesha kwamba Mtoto wa Mkulima atarejea vinginevyo hakuna baraza jipya labda hadi wiki ijayo. Nasema hivyo kwa kuwa sijaona dalili zozote za kuitishwa kwa kikao cha dharura cha Bunge ili kupitisha jina la PM mpya.
 
Last edited by a moderator:

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,119
2,000
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.
 

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
1,500
Kuwazua kutoka nje Dar , sio lazima anataka kuwashitaki, kwa kuwa hajavunja baraza, na anatalajia kutangaza mabadiliko wakati wowote, huwezi kutangaza kama hujamjulisha aliyekuwa na position fulani juu ya kumvua madaraka hayo...hivyo ni matarajio yake kuwa atawaatalifu muda mfupi kable ahatangaza balaza jipya
 

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
12,332
2,000
Akifanya hivyo ntampa big up sana......... lakini tetesi zimekua nyingi sana ngoja nisubiri
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,001
2,000
toka jana mnatuambia hapa watatangazwa hivi punde...na hao walioteuliwa wataapishwa lini?
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,213
2,000
Akifanya hivyo ntampa big up sana......... lakini tetesi zimekua nyingi sana ngoja nisubiri

Kuna sheria ya asili isyothibitika isemeayo kuwa mbele ya kifo watu wengi hujaribu kuokoa uhai wao tu na kuwasahau mswahiba, na hata ndugu zao. kwa hiyo sina wasi wasi na uwezekano wa hili kuwa la kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom