Nikijiuzulu jimbo langu (Moshi rural) litakwenda chadema -Dr. Chami

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Huu ndo ulikuwa utetezi wa dr,chami kwa wabunge wa ccm katika kikao chao cha huko dodoma, yeye chami anaamini wapiga kura wa moshi vijijini wataendelea kumchagua kwa kuwa ataendelea kubaki kwenye baraza la mawaziri.

Ukweli ni huu?
Source ni mbunge wa ccm aliyehudhuria hicho kikao
 
Anajitetetea badala ya kuwajibika kwa manufaa ya wapiga kura wake na wananchi wa Tanzania.

Namshangaa sana Kikwete kwanini anawaomba wajiuzulu badala ya kuwafukuza kazi.
Ningelikuwa Jk, I should have get rid of them, sina mkataba na panya mimi!
 
Watu wengine! TAYARI AMESHAJICHUKULIA HATI MILIKI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI!
 
Nadhani JK hajui kama yeye ni Rais wa Tanzania, ndo maana hana maamuzi japo katiba inampa mamlaka, amebaki anasubiri maamuzi ya chama ndo afanyie kazi. Nadhani uenyekiti wa ccm unamtosha
 
Nadhani JK hajui kama yeye ni Rais wa Tanzania, ndo maana hana maamuzi japo katiba inampa mamlaka, amebaki anasubiri maamuzi ya chama ndo afanyie kazi. Nadhani uenyekiti wa ccm unamtosha
Ushkaji umemzidi sana JK..hawezi kuwawajibisha hata yeye wanajua si msafi.
 
Hili jamaa zembe hili ni mbunge wangu wa kulazimishwa! yan ni zembe kupindukia, mi siishi moshi ila nimejiandikiha moshi na huwa naenda kupiga kura moshi, yan cjui kwa nini wakibosho wanamng'ang'ania huyu jamaa zembe kiasi hichi. Hakuna cha maana alichokifanya na uwaziri wake. Angalau angemleta mwekezaji mmoja ajenge kiwanda kule Moshi (V), yan limebweteka tu na uwaziri. Yan kwa kweli safari hii lazima tumle kichwa. Hana msaada kwa wananchi wa Moshi V, Mbona Ndesamburo Moshi (M), amefanya mambo yanayooneka mf, ameshinikiza lami kutoka YCMA hadi RAU, ameomba jengo lililokua kiwanda cha pamba zamani ajenge kiwanda kanyimwa, amechimba visima vya maji n.k, yeye huyu waziri anashindwa nini kufanya mambo ili nasi tujivunie uwaziri wake? Bora hata mramba alijenga barabara kule Rombo, japokua ni fisadi
 
Unakuwa waziri na bado ni mbunge!! Ni tatizo la katiba iliyopo inayowafanya mawaziri wawe narrow-minded. Ilipaswa ukishateuliwa waziri ubunge basi ili ujue unawajibika kwa watz wote na siyo kwenye jimbo lako.
WITO: Tuisaidie Tume ya Warioba ili tupate katiba nzuri itakayoleta uwajibikaji.

Natamani ifike wakati mtu akipendekezwa kuwa waziri akatae badala ya kufanya tafrija....inakera aah
 
Utetezi na km wa bosi wake JK hakuna mantiki hapo zaidi ya fikra mbovu
 
Asijifanye anamiliki utashi wetu, kwasasa hata akibaki tutamuondoa tu. Angekuja huku kijijini tukamshauri aachie madaraka upesi, kwani ameshindwa kuliwajibikia Taifa kupitia tiketi tuliyompa.
 
Huu ndo ulikuwa utetezi wa dr,chami kwa wabunge wa ccm katika kikao chao cha huko dodoma, yeye chami anaamini wapiga kura wa moshi vijijini wataendelea kumchagua kwa kuwa ataendelea kubaki kwenye baraza la mawaziri.

Ukweli ni huu?
Source ni mbunge wa ccm aliyehudhuria hicho kikao

Awe waziri asiwe waziri, Macha atalichukua tu hilo jimbo 2015, kazi anayoifanya pale kwenye kata yake na Halmashauri kwa ujumla inatosha kabisa kuwa CV ya kupewa Ubunge. Chami Mwenyewe anamwogopa yule Diwani na anajua wazi huyo ndo atakaempokonya jimbo
 
Mimi nimetokea pande zile. Huyu Macha ni wa wapi? Kata gani I mean
 
Chami atakuwa na upungufu wa akili, may be hayo ma-ARV drugs anayotumia yanamfanya awe insane sometimes, au fungus zimeshaota kichwani. Bure kabisa hili zee...
 
Anajitetetea badala ya kuwajibika kwa manufaa ya wapiga kura wake na wananchi wa Tanzania.

Namshangaa sana Kikwete kwanini anawaomba wajiuzulu badala ya kuwafukuza kazi.
Ningelikuwa Jk, I should have get rid of them, sina mkataba na panya mimi!
Anajua kwa nini anawabembeleza kuondoka! Maana mikataba yote inayosainiwa na mawaziri kabla ya kusainiwa inapelekwa kwenye cabinet na yeye ni mwenyekiti wa cabinet! pia ana usalama wa taifa na vyombo vingi hivo uchafu wa mawaziri anaujua na pengine aliubariki au kushiriki sasa kuwageuka na kuwafukuza ni ngumu lazima awaombe waondoke amicably ili yeye anapomwaga ugali mawaziri wanaomwagwa wasimwage mboga!!
 
Huyu ndo alipata A saba o level na A tatu A level, mbona anamawazo ya kimwanaasha hivyo, kwa hiyo anataka aendelee kuongoza wakati anatuhuma za wizi. Aende zake.
 
Huyu ndo alipata A saba o level na A tatu A level, mbona anamawazo ya kimwanaasha hivyo, kwa hiyo anataka aendelee kuongoza wakati anatuhuma za wizi. Aende zake.

hata mimi najiuliza aliwezaje kufaulu vizuri kiasi hicho? ila inaonekana ukishaingia katika siasa na hasa chama cha mapinduzi hata uwezo wajo wa kufikiri unakoma kabiza unaweza hata usijue wewe ni jinsia gani.....maana viongozi karibu wote wa sisiemu untadhani wanamatatizo ya akili.... hawaifikirii inchi wao maslahi ni chama na matumbo yao.... she... zao tutawachonga kama sadam...

SORRY WAKUU.. HV HUKUMU YA MNYIKA-UBUNGO NI LINI? SORRY FOR INTERUPTION
 
Nipo hapa kata ya Ukaoni, tarafa ya Kibosho, jimbo la Moshi (V). Nimewasomea vijana hii thread pakaharibika. Wamenigeukia utadhan ni maneno yangu. Wanalalamika jamaa alichakachua kwenye kura za maoni wakaamua kumtosa kwenye uchaguzi nako akachakachua. Ila wanasema kwamba safari hii watapiga kura na kuzilinda. Natamani mngekijua kikibosho ndio mngeelewa hasira zao! Chaaa!?
 
Tujuavyo JK ndiye anawang'ang'ania hawa vilaza,sasa sijui kama na yeye ni mkibosho!!?
 
Back
Top Bottom