Zitto Kabwe ndani ya Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe ndani ya Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, May 4, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Naibu katibu mkuu wa cdm mh zitto kabwe,anatarajiwa kuongoza harambee kata ya igoma mwanza mei 12 kwa lengo la kukusanya sh ml 100.

  Lengo la harambee kununua kiwanja cha ofisi ya cdm,pikipiki,gari,na kuwezeshaa vikundi vya kinamama, na kama unaomchango tupia ac namba 070201061070 jina CHADEMA KATA YA IGOMA, M PESA 0754260381:

  chanzo tanzania daima,
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijakusoma.Harabwee ndiyo nini?
   
 3. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe umesoma halafu unauliza!!

  Inaonekana hata darasani ulikuwa unapenda sana kuigilizia!
   
 4. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nakushauri kachunguze ubongo wako kama uko fit!
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  shule ya kata
   
 6. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inabid umuwah kuchunguzwa kabla ydy hajanza maana we ndo uko mahututi
   
 7. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kamanda wa ukweeee karibu jijin mwanza.tutachanga
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hongera kamanda zitto.
  TULIANZA NA MUNGU WA ISRAEL NA TUTAMALIZA NA MUNGU WA ISRAEL.
   
Loading...