Soma Alnuur kila IjumaaPosted on May 4, 2012 by zanzibaryetu
Wazanzibari wakiitikia dua iliyosomwa na Kiongozi wa Uamsho na MIhadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheikh Msellem Bin Ally katika...
CDM mlitangaza kuwa mtaandama kushinikiza baraza la mawaziri lifanyiwe mabadiliko? JK waacha chini Ngereja, Mponda, Chami, Nundu, Mkulo na Maige; Tuoeni kauli rasmi; maandamano yamekufa kifo cha...
Wajamaani nimesikia Jumatatu ijayo ni kuapishwa mawaziri. Napenda kupata ufafanuzi; wataoapishwa ni wale waliochaguliwa kwa mara ya kwanza ama wote (Akina Nchimbi, Mkuchika, Prof. magembe, Prof...
WanaJf, juzi nilikuwa Njombe, Tarafa ya Mdandu nilichoshuhudia huko ni kwamba makamanda Thomas Nyimbo na Alatanga Nyagawa(viongozi CHADEMA wilaya) wanafungua matawi vijijini na mwitikio wa...
Matawi ya vyama vya siasa hasa wakati wa ukombozi wa nchi mablimbali duniani africa na america kusini yalikuwa yanafunguliwa nje ya nchi sababu ya kupigwa marufuku katika nchi zao. Chadema ina...
Kama kweli we ni great thinker utaona strategy zinazotumika kwenye siasa zetu Tanzania sahivi. Ni dhahiri kuwa wapinzani ndani ya CCM na nje wanapumbazwa kwa kutendewa kama wapo pamoja na utawala...
Kauli ya Halima mdee kwenye kampeni za kugombea ubunge mwaka 2010 kuwa James Mbatia ni kibaraka wa ccm sasa imetimia. Pia waliompinga Kafulila sasa watakuwa waamefunguka macho na maono. Hii ni...
CDM Kinatarajia kuwa na MKUTANO KICHANGANI MOROGORO Mjini mchana.MAKAMANDA wote wa SUA,MZUMBE,MUSLIM UNIVERSITY,ARDI na JORDAN UNIVERSITY Msikose.Pia wananchi kwa ujumla shime tusiangushane.Njoo...
Tangu tumepata uhuru hatujawahi kuwa na chama cha upinzani tishio kama CHADEMA. Upinzani wao umekuwa na mafanikio makubwa sana, kwanza wameaminika sana kwa wa Tanzania kuliko chama chochote cha...
Makamanda woe mliyopo Arusha
na sehemu za jirani
mnakaribishwa kesho kwenye
mkutano wa hadhara utakao
fanyika kwenye viwanja vya NMC ,
Mapambano hayo yataendeshwa
na kamanda wa anga mh...
Jamani ndugu zangu watanzania. Waziri Magufuli ni the best Minister ever, ukimuacha marehem Sokoine. Huyu waziri anafanya kazi na kazi imo ktk damu yake. Mimi ni mchaga sina undugu wala...
Wanajamii, mji wa Kigoma upo gizani wiki sasa. Hatujui nini tatizo na Tanesco wapo kimya tofauti na mikoa mingine ambapo huwa wanatoa taarifa ya kutokuwepo kwa umeme. Hali ni mbaya. Usalama kwa...
utafiti unaonesha kuwa CCM mwaka sifa yake inaongezeka kwa asilimia kadhaa kila uchaguzi,
mwaka 1995 mkapa alipata 57 na 63 mwaka 2000, average ni 60. hiyo ni awam ya tatu, awamu ya nne kikwete...
Kwa jinsi, matokeo ya ripoti ya CAG yalivyoichachafya na yanavyoendelea kuihenyesha serikali ya CCM, kiasi cha kutishia kuangushwa isipochukua hatua za maana dhidi ya madudu yaliyoripotiwa katika...
wana JF,
Nikiwa mtanzania mwenye nia njema na nchi yangu,haya ni maoni yangu binafsi.nitakubali kupokea changamoto au maoni toka kwa mwana JF yoyote mwenye maoni tofauti na mimi,pia hata...
Hallo comradea
Should we opimistic with the changes made today to the cabinet?
what did go wrong with the Askari wa miamvuli who did not perform?
Should these askaris be left to walk schoch free...
Hivi kweli Kikwete anavunja
maudhui ya katiba akiwa na
macho makavu!! Mawaziri kwa
mujibu wa katiba, I stand 2 b
corrected, lazima watokane na
wabunge. Na ili utambuliwe
kama
Mbunge lazima...
Pamoja na John Obhwarwa Magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali...
Kesho kamati tendaji ya jimbo itakutana ikiwa na malengo na madhumuni ya kuendeleza mapambano na kuhakikisha chama kinaendelea kukua na kupiga mikutano ya ukombozi wa fikra kwa wananchi kwa kasi...
Ikumbukwe kuwa Dr Mponda na Dr Nkya walitangazwa kuwa maadui wa madaktari na jumuia ya madaktari, na leo wametupwa nje.
Aibu kwao wote waliowakejeli madaktari wakati wa mgomo wa mwisho!
Next...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.