NIMEJARIBU KUTAFAKARI KIFO HICHI NIMEPITA PICHA HALISI YA SIASA ZA TZ BAADHI NI:-
Watanzania tuna siasa za chuki na za kulipana kisasi ,hii ni kutokana na tulivoiweka siasa maana unakuta uchaguzi...
Katika Mchakato wa katiba mpya mimi moja kwa moja naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo. Tunaweza kugawanya Tanganyika katika majimbo matano au sita ya kiuchumi, na jamaa wa visiwani...
Wanabodi,
JK ameteua wabunge watatu wapya na kuna uwezekano wawili kati yao atawateua mawaziri!.
Ili mtu kuteuliwa waziri lazima kwanza uwe mbunge. Mtu akiteuliwa Mbunge, hawi mbunge bali...
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza Rais Kikwete na kamati kuu ya CCM kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri...
Huyo Risasi Maulanga anaayejita balozi wa amani anaongea utumbo kwenye Star Tv, eti madiwani na viongozi wanaohama chama kwenda chama kingine washatakiwa na wapewe adhabu kubwa.
Anamsifia raisi...
Kwa kuwa Mkuu amekamilisha hatua ya kwanza ya kuwawajibisha wateule wake waliomuangusha, swali ninalojiuliza kwa watu walioacha madaraka kwa fedheha je, wanastahili kulipwa mafao ya kustaafu kama...
Japo ana mapungufu ya kutokuwa na msimamo na usisimizi,kwa suala la umamluki wa Mbatia James NAMUUNGA MKONO.Mbatia kama wewe si mamluki na ni mwana demokrasia usikubali uteuzi.
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika...
watu wote leo ikulu,ikulu....ahh inakera sana wakati kuna mambo ya msingi yanaendelea mahakamani.tupeni ripoti jamani kamanda wetu ,jembe MNYIKA noma yake inaendaje huko kwani nasikitika sana nipo...
Wana JF
Nakumbuka kesi ya Uchaguzi jimbo la Njombe ilikuwa ya kwanza kabisa kufunguliwa na CHADEMA huku kukiwa na matumaini makubwa pia kuwa kesi hii itakuwa na ushindi rahisi kutokana na rafu...
Kwa kuwa katiba inasema Rais atashauriana na Waziri mkuu kuteua mawaziri basi bila shaka waziri mkuu wa kushauriana nae ni Pinda.
Kama Pinda alishindwa kuwakemea mawaziri waliopo je hao...
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema anakerwa na tabia ya vyombo vya habari nchini kuwakosoa viongozi wa CCM na Serikali tu na kuwabeba wa vyama vya upinzani hata wanapokosea.
Amesema...
Serikali ya Zanzibar imevitaka vikundi vyote vinavyotoa mihadhara juu ya katiba na muungano kuacha mara moja kuruhusu tume ya katiba ifanye kazi yake.
Source: ITV
Makamu wa Rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa ALAAT Kunduchi Dar es Salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....Source TBC
Mbunge wa viti maalum Susan Kiwanga wa Kilombero kama sijakosea jina, amekesha stand ya Moro baada ya basi alimokuwemo kuzuiwa kuendelea na safari ya kuelekea Dar kutokana kufika Moro saa 5:00...
nimejitahidi kuzuia hisia zangu imenibidi sasa niseme ukweli, hawa viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Tanzania hususani CHADEMA Dkt. Slaa na Kamanda mbowe nimeamua nijiunge Hapa JF ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.