Sioni sababu ya JK kubadilisha au kuvunja baraza la Mawaziri kwasasa.........

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Je, ukiulizwa ni kosa gani Mawaziri wamefanya utashindwa kufafanua, hiyo yote ni ushahidi tosha ya kwamba hakuna ulazima wa kuunda Baraza jipya la Mawaziri.

Nikuulize wewe Mwana JF ni kosa gani Mawaziri wamefanya utasemaje? JK Rais wetu tunakuomba sisi Watanzania wenzako achana na porojo za wasioitakia mema nchi hii, huo ni upepo wa kisiasa tu wala usiogope na hata usipoteua Baraza jipya hawana uwezo wowote wa kukutisha.

Usiulize Tanzania itakufanyia nini....Jiulize utaifanyia nini nchi yako Tanzania.

Great Thinker Mzee wa Njaa.
 
Back
Top Bottom