Kwanini Mbatia hapatani na kila chama cha upinzani chenye nguvu?

Joined
Oct 21, 2010
Messages
45
Likes
0
Points
13

Shapecha

Member
Joined Oct 21, 2010
45 0 13
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya CCM. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against Wapinzani tangia alipochukua madaraka NCCR.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa CUF kule Pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na CHADEMA kule TARIME.
3. Sasa yupo karibu na CUF baada ya kuona CUF wapo karibu na CCM
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za CHADEMA thats why wengi waliotoka CHADEMA wameenda NCCR.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa CCM.
Ni mtazamo tu!
 
Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
4,282
Likes
1,630
Points
280

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
4,282 1,630 280
Huyu jamaa haelewki, Kitendo cha Kutaka Kwenda Mahakamani kumpinga Halima pale Kawe kimenisikitisha sana, Mgombea wa CCM tu Hana hata hali halafu yeye kubwa zima linalalamika kwa kadada kama HM, Shame on you Mbatiwa.
 
KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
398
Likes
2
Points
35

KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
398 2 35
He!! ameoa? mke wake ninani mbona mliyo ya sema nimakubwa sana kuna ushahidi wowote hata wakimazingira anayejua atupe ........khuuu !!! sidhani lakini kaulizake na matendo yake vina onyesha kama ni lijari vile
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
5,921
Likes
96
Points
145

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
5,921 96 145
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya CCM. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against Wapinzani tangia alipochukua madaraka NCCR.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa CUF kule Pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na CHADEMA kule TARIME.
3. Sasa yupo karibu na CUF baada ya kuona CUF wapo karibu na CCM
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za CHADEMA thats why wengi waliotoka CHADEMA wameenda NCCR.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa CCM.
Ni mtazamo tu!
nimependa mtazamo wako.
 
Havizya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
1,597
Likes
203
Points
160

Havizya

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
1,597 203 160
Anajulikana tangu zamani kuwa ni kibaraka mkubwa wa ccm. 2010 alisema hakuna mpinzani anayestahili kuchaguliwa kuwa rais Tz, eti hawajaandaliwa vema, ndiyo maana Halima alimpasha ukweli wake.
 
Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,350
Likes
702
Points
280

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,350 702 280
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho kinaichachafya CCM. Hii ipo evidenced na matukio kibao ambayo kayafanya against Wapinzani tangia alipochukua madaraka NCCR.
1. Alishawahi kuwawekea pingamizi wagombea wa CUF kule Pemba
2. Yeye ndiyo chanzo cha muunganiko wa upinzani ulioanza 2007 kuvunjika baada ya kuwa against na CHADEMA kule TARIME.
3. Sasa yupo karibu na CUF baada ya kuona CUF wapo karibu na CCM
4. Amewakataza wabunge wake wasiwe wabishi bungeni means wawe friendly kwa government.
5. Pia now anatumia advantage za chokochoko za CHADEMA thats why wengi waliotoka CHADEMA wameenda NCCR.
Kwa sababu hizo anaonekana yupo kwa ajili kubomoa upinzani siyo kujenga thats why wengine wanamuita kibaraka wa CCM.
Ni mtazamo tu!
Leo nimesadiki haya maneno.Ama kweli yasemwayo yapo.......
 
Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,350
Likes
702
Points
280

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,350 702 280
Anajulikana tangu zamani kuwa ni kibaraka mkubwa wa ccm. 2010 alisema hakuna mpinzani anayestahili kuchaguliwa kuwa rais Tz, eti hawajaandaliwa vema, ndiyo maana Halima alimpasha ukweli wake.
What.....Alisema hayo maneno kweli?
 
Mkira

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2006
Messages
425
Likes
8
Points
35

Mkira

JF-Expert Member
Joined May 10, 2006
425 8 35
Leo nimesadiki haya maneno.Ama kweli yasemwayo yapo.......

Je mlisha wahi kumsikia anaogelea suala la EPA? yeye na Mdogo wake mbuge wa africa Mashariki yule dada wa NCCR mageuzi wanamteteta sana Mkapa Pamoja na Mramba. wao walinufaika kwa njia fulani je mbatai amtuzana hazina marehemu wa CCM ilkuwaje nao???
 
Easymutant

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2010
Messages
2,579
Likes
566
Points
280

Easymutant

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2010
2,579 566 280
Sidhani kama baba amemchagua kwa hiari yake kutoka moyoni ..hili kama si shinikizo la baba mkubwa cameroon sidhani natia shaka sana maana si muda baba cameroon alisema kama hamtaki kishare second name yangu basi hakuna misaada.. Usikute huyu ndo katolewa kama sample ya kuwakilisha Cameoon..but any way who cares! Akapakuliwe chakula tu akishiba atawaachia na wengine..
 
Forum statistics

Threads 1,203,135
Members 456,618
Posts 28,100,933