Mbunge huyu hatufai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge huyu hatufai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wambuni, May 1, 2012.

 1. w

  wambuni New Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mbona jana 2meletewa ripoti hapa kuwa ametoa vitanda ktk hospital hapo mjini.wee gamba acha majungu.KATIKA WABUNGE NNAOWAZIMIA UKIMWONDOA KAMANDA LEMA AMBAE NAMKUBALI BASI NI REV.PETER MSIGWA.usitake niwadharau iringa mjini..huyo bwana ni commited..usitake 2kutukane arusha.MSIGWA AME2SAIDIA SANA MERU.ukitizama 24hrz hilo shangingi lake utakuta lina vumbi la mbuguni,maroroni msi2 wa mbogo na engarenanyuki mda wote wa kampeni.pliz Mwache kabisa..
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Acha uongo wewe, ve wisegito au wu mwagito? Ene wisegito ndala veve wivakogopa nda lutambulilo!
   
 4. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yale yale ya Wajinga,Huyu jamaaa kaja jana tu kotoka kusikojulikana huo ujinga sijuia anamletea nani huo ujinga humu janvini
   
 5. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Join Date : 30th April 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
  [h=2][​IMG] acha kutumia masaburi kuanzisha mada,Gamba mkubwa ........[/h]
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  toa upuuzi wako wewe, we ndo wale wale akina mama mbega nini ,
   
 7. a

  annalolo JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uongo wako. wewe ni gamba na utakuwa umetumwa pole sana siku nyingine usikurupuke
   
 8. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wewe kweli mbuni!!
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  katumwa na lukuvi uyu.
   
 10. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [h=3]MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MCHUNGAJI MSIGWA AWAZIBA MIDOMU CCM ,AKABIDHI VITANDA VYA MAMILIONI YA SHILINGI[/h]

  [​IMG]Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) kulia akikabidhi vitu mbali mbali leo kwa ajili ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa Mjini kwa kaimu meya wa Manispaa ya Iringa Vitor Mushi mwenye shati la kijani katikati
  [​IMG]Wananchi wakishusha vitanda katika malori leo vitanda ambavyo ni msaada kutoka kwa mbunge Msigwa
  [​IMG]Sehemu ya vitanda vilivyotolewa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa leo
  [​IMG][​IMG][​IMG]Hii ndio Hospitali mpya ya Manispaa ya Iringa ambayo mbunge Msigwa amekabidhi vitanda vya kisasa itaanza kutoa huduma jumatatu wiki ijayo
  [​IMG][​IMG]Vitanda vya kisasa vikiwa vimeshushwa katika lori kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]Baiskeli kwa ajili ya walemavu na wagonjwa watakaofika kupatiwa matibabu katika Hospitali hiyo
  [​IMG]Mbunge Msigwa akionyesha jinsi ya kuseti vitanda hivyo kwa umeme
  [​IMG]Kaimu mstahiki meya wa Manispaa ya Iringa diwani wa kata ya Mtwivila Victor Mushi (CCM) akishukuru kwa msaada huo kutoka kwa mbunge Msigwa (Chadema)
  [​IMG]Umati wa wananchi waliofika kushuhudia zoezi hilo nyeti
  [​IMG]MBUNGE wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amekabidhi vitanda vya kisasa 30 pamoja na magodoro yake kwa ajili ya kusaidia kulalia
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  HII PICHA NI UTHIBITISHO KWAMBA MAGAMBA NI WANAFIKI KAMA ALIVYO MTOA MADA NGUGU Wambuni au Wa Oustrich!!! Nazani Picha zitakuwa zimemziba kidomodomo! Kama hakutumwa na Umemekuvi basi ametumwa na Makindala!
   
 12. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hakufai wewe..... sisi tuliomchagua anatufaa sana
   
 13. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Join Date : 30th April 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0

  Sikushangai, kumbe umezaliwa jana alafu leo tuu unapiga kelele, alafu umeingia JF hata bila hodi, duh, kilaza mkubwa wewe.
   
 14. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeamaliza kazi, kimsingi muanzisha thread si mtu wa kuaminika kwani kaingia jukwaani jana. Ni vizuri kumpuuza.
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kulikuwa na ulazima gani kuliquote litaarifa lote?
   
 16. v

  victorsaria2004 Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine wameshazoea kudanganywa ndio maana wakifanyiwa vitu kwa uhalisia wanaona kama hakuna kilichofanyika. wamezoea kupewa kanga, tshirt na kofia kwao ndio kufanya kazi. Angalieni kuna siku hivi vitaondoka then mtabakia kulia milele.

  [​IMG]Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) kulia akikabidhi vitu mbali mbali leo kwa ajili ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa Mjini kwa kaimu meya wa Manispaa ya Iringa Vitor Mushi mwenye shati la kijani katikati
  [​IMG]Wananchi wakishusha vitanda katika malori leo vitanda ambavyo ni msaada kutoka kwa mbunge Msigwa
  [​IMG]Sehemu ya vitanda vilivyotolewa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa leo
  [​IMG][​IMG][​IMG]Hii ndio Hospitali mpya ya Manispaa ya Iringa ambayo mbunge Msigwa amekabidhi vitanda vya kisasa itaanza kutoa huduma jumatatu wiki ijayo
  [​IMG][​IMG]Vitanda vya kisasa vikiwa vimeshushwa katika lori kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Manispaa ya Iringa
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]Baiskeli kwa ajili ya walemavu na wagonjwa watakaofika kupatiwa matibabu katika Hospitali hiyo
  [​IMG]Mbunge Msigwa akionyesha jinsi ya kuseti vitanda hivyo kwa umeme
  [​IMG]Kaimu mstahiki meya wa Manispaa ya Iringa diwani wa kata ya Mtwivila Victor Mushi (CCM) akishukuru kwa msaada huo kutoka kwa mbunge Msigwa (Chadema)
  [​IMG]Umati wa wananchi waliofika kushuhudia zoezi hilo nyeti
  [​IMG]MBUNGE wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amekabidhi vitanda vya kisasa 30 pamoja na magodoro yake kwa ajili ya kusaidia kulalia[/QUOTE]
   
 17. K

  KUTATABHETAKULE JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 807
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 80
  Acha ujinga wa mbuni ambaye huficha kichwa chake mchangani kwa matarajio kuwa adui zake hawatamuona. Picha zilizowekwa hapa ni ushahidi tosha wa nini Mhe. Mbunge anawafanyia watu wake.
   
 18. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Haaahaahahahahahaaah! huyu gamba aliyeleta hii thread kesha sepa baada ya kuletewa ushahidi wa maana
   
 19. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ndio mambo tunayoyataka sio blabla
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwanza ukiingia chooni ni lazima ugonge hodi sasa inakuwaje unaingia bila hata hodi jamvini bwana mdogo? Acha kufuka moshi. Nianishie kazi za wananchi ni zipi ambazo unamananisha Msigwa hafanyi. Umenichefua sana kuanzisha uzi kama hujala siku tatu hivi kwa hiyo una njaa ili Nape akuone akuingize kwenye payroll yake!!!!!
   
Loading...