Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KONGOTO, May 2, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja
   
 2. K

  KONGOTO Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja
   
 3. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mathayo anaijua vizuri Musoma na hawezi rudi tena Musoma kwa tiketi ya chama chochote kile labda useme kwingine.

   
 4. K

  KONGOTO Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa yuko safi sana na kama ni makosa kayafanya atakua amejifunza baada ya kutoswa 2010....tuwa na siasa za kuvumiliana kama akija basi sisi wananchi tumsikilize halafu tufanye maamuzi tena...
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hivi kweli kuna mtu wa kumn'goa vincent Nyerere msoma mjini na CDM?
  Kweli mleta thread unaonesha ni jinsi gani we ni product ya shule za kata.
   
 6. K

  KONGOTO Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani huyo vicent yeye ana hati miliki na maamuzi ya wanajimbo la musoma?? jamaa kuwa na siasa za kuvumiliana na zaidi uwe unajua kwamba mambo hubadilika..
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hizo ni ndoto tu. Yeye anazungumzia kulichukua musoma mjini wakati CHADEMA wameshavuka hilo lengo wanalimendea Ikulu 2015.
   
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kakutuma nini?
   
 9. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe ni mama Esta nini??
   
 10. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anakulipa ngapi?
   
 11. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani kwa Musoma wewe sahau kabisa labda kama kuna Musoma nyingine iliyo nje nje ya mkoa wa Mara

   
 12. F

  Fofader JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa hajachoka tu? Hivi nikumbusheni mafanikio yake yalikuwa nini vile?
   
 13. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umetoka kulala!
   
 14. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  nguvu ya hatari umemaanisha nguvu ya pesa,uchawi au mauaji ?ambazo ndizo mbinu zenu tofauti na hapo kuna ziwa pale akavue
   
 15. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thread zingine ni ***** tu! Kuna shida gani mgombea mwingine akija? Wananchi wa Musoma mjini ndio waamuzi sasa kelele za nini hapa jamvini.
   
 16. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuambiwa kaa chini

   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hii title imeandikwa kiushabiki ukisoma ni tofauti na maudhui
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani ni jimbo lake. Kulitaka ni kitu kimoja na kulipata ni kitu kingine. Kwa nini hakutumia nguvu hiyo kulitetea?
   
 19. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  mkiishiwa hela za matumizi mnasumbua sana,najua unakumbuka alivokuwa anakufadhili,kwanza musoma mjini unayoiongelea ni ile ya kwa kina mura au ile iliyopo pale mvuha-morogoro?
   
 20. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Watu kama nyie huwaga mnakera sana. Lini mtaacha kuishi kwa kujipendekeza?? Wewe ndo umetuambia kwa habari za uhakika inasemekana atarudi kwa kishindo! Sa vpi tena uanze kujiliza hapa kumuombea!! Kama anata aibu ya uzeeni aje tena 2015 sio mbali. Kwani alisha malizaga ile kozi ya kingereza?aje sasa l
   
Loading...