Wakati akisulubiwa na Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Maige alikimbilia kwenye vyombo vya khabari na akawasagia Kamati husika akidai...
Swali raisi inaonekana bado CCM wanaamini wao ndio wenye kuwa na uamzi juu ya katiba ndo maana wameona wang'ang'anie vipengele vyao!Je kuna maana gani ya kuweka tume yakuratibu maoni kwa wananchi...
Hatimaye mauaji ya CCM yamepewa msamiati mwingine zaidi baada ya mbunge wa Ludewa kusema wakati akihutubia wapiga kura wake waliokwenda kumpokea kuwa
hata kama wakinikolimba leo wataibuka...
Mimi nadhani ingekuwa bora kama watuhumiwa wote wa EPA wangesamehewa. Siyo wasamehewe na Rais au Mahakama,ila wasamehewe na wananchi. Watanzania ni bora tujifunze kusamehe,kwa sababu Allah ni...
MBUNGE wa Jimbo la Ilemela,
Highness Kiwia
(CHADEMA),amefanyiwa
upasuaji mkubwa wa kichwa
katika Hospitali ya Apollo
nchini India, Alhamisi iliyopita.
Akizungumza na Tanzania
Daima jana...
katiba bora ndo misingi wa taifa na katika swala hili tunahitaji kuacha tafauti zetu za kidini, kichama, nk, ili tumwe na katiba inayotoa maslahi kwa wote. CCM wakitaka ya kwao, CDM ya kwao, TLP...
Ninaamini kwa kuwaapisha baadhi ya watu kuwa� wajumbe wa Kamati ya rais ya Maoni kuhusu Katiba Mpya Rais Kikwete amevunja sheria ambayo yeye mwenyewe aliisaini. Sheria ya kusimamia...
Jamani kama mwanachama wa chadema na mwenye mapenzi mema na chadema,nimemsikiliza shibuda akihojiwa na radio one katika kipindi cha nipashe asubuhi na nimeamini kweli ana kusudia kugombea...
Kwa mujibu wa amka na BBC leo asubuhi, Katika mkutano wa G8 unaofanyika huko Camp David Marekani Rais Obama amewakaribisha wageni maalum ambao ni marais wanne kutoka nchi 4 za Afrika akiwemo...
Posted by Rweye | May 13, 2012
Ni jana majira ya asubuhi kilipoitishwa kikao cha dharura kufuatia M/kiti wilaya wa CDM kurejea akitokea Dar kulikofanyika mkutano wa baraza kuu
Kikao cha kamati...
Msimamo wa CCM kuhususiana na Muungano ni huu ulivyo sasa.Msimamo huu ni tofauti kabisa na ule wa CUF ambao ni Muungano wa Serikali tatu.Kwa kuwa mtazamo huu unazua tofauti za msingi kabisa kati...
Kauli za baadhi ya wanachama wa chadema zinauwalakini na zinatakiwa kuchambuliwa kwa makini,
JE! KAULI YA MBUNGE SHIBUDA NI SAHIHI?JE ANA LENGO ZURI KWA CHAMA AU KWA WATANZANIA ANAODAI KUWA...
Wana JF, Ningewaleteeni taarifa yote ya Mkulo kukana kuhusika kwake, lakini nawaleteeni kipande tu maana taarifa yake ni ndefu sanaaa. Narudia tena usizingatie namba hizo nimepunguza baadhi ya...
Welcome back..nliwamiss sana JAMVINI. Kwa mujibu wa Aman Golugwa...mwenyekiti wa kijiji anamotoka mbunge wa ngorongoro Saning'o ole telele ni miongoni mwao..M4C NI NOUMER
Kutoka Gazeti la...
Posted by John Mnyika | May 13, 2012
WanaJF wenzangu, katika kipindi cha kati ya 2011 mpaka 2012 kuna mwelekeo ambao naona ni vyema kila unapoibuka mkauchukulia kwa tahadhari. Kwa nyakati...
Huwenda CC Ya ccm ndiyo yenye watu wenye msimamo kuliko ata wabunge na Mawaziri kwani maamuzi na maazimio yao ndiyo hufuatwa.
Je unazani ni kwanini huwa hawapuuzwi kama wabunge na mawaziri...
Posted by dosama | May 15, 2012
TAMKO LA NEC JUU YA KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA NCHINI.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imejadili kwa kina suala la kupanda kwa gharama za maisha nchini. NEC...
Wakati wabunge wetu wakihaha kudai kuongezewa "kipato chao" ili kufanya kazi kwa "ufanisi" zaidi, Rais mpya wa Ufaransa kapunguza mshahara wake na mawaziri wake kwa 30%.. read more
France's new...
Leo ktk uwanja wa Sokoine akiwa anazitua sensa ya watu na makazi pamoja kuwasha mwenge wa uhuru Mh. Waziri mkuu amezunguzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na:
kuwataka watu wajiepushe na ugojwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.