Naomba wanaJF kwa niaba ya watanzania wote tujaribu kulimlika hili; Tanzania imedhihirika wazi kuwa katika hali ya kawaida katika maisha yetu ya kila siku hasa ya kisiasa hakuna kitu kama kusema...
Ndugu wanabodi,
Wahenga husema siku zote ni mwenye kuvaa kiatu ndiye ajuaye ni wapi hasa kiatu chake kinambana na hivyo ni wajibu wake huyo huyo kujua afanye nini ili kujinasua na uchungu...
Si CCM wala kiongozi wake hata mmoja mwenye ubavu huu.Ubavu wa kuruhusu au kutoruhusu mjadala wa Mgombea binafsi.Suala hilo ni la kikatiba;si la kichama.Watanzania watajiamulia kuwepo ama la.Tena...
Wapo watu wanaotaka kutuaminisha kabisa kwamba migomo kwenye vyuo vikuu inasababishwa na siasa. Wamejaribu kupotosha kabisa maana halisi ya siasa ili kuonyesha udhaifu wa kiutendaji katika baadhi...
Ndugu zangu watanzania, nawaomba sana kuhusu suala hili la tume ya katiba tujaribu kuwa na uvumilivu wa kisiasa tukishaanza kupandikiza mambo ya udini hatari iliyo mbele yetu itakuwa kubwa sana...
Posted by JokaKuu | May 15, 2012
..kwa jinsi nilivyomuelewa Makongoro Nyerere kutokana na maelezo yake anakwenda ktk bunge la EAC kuhakikisha kwamba Tanzania inaondoa pingamizi lake ktk masuala...
wana Bodi
Huku kukiwa na vuguvugu kali la kisiasa na kijamii hapa Mwanga kuhusu wazazi kuanza kuchangishwa kati ya Tsh 500 - 1000 kwa ajili ya ununuzi wa Chaki Shule za Msingi. Leo tarehe...
Jana Chadema wamefanya mkutano wao wa Mkoa wilayani Ngara na baadaye kuunda vikosi nane ambavyo vimepetapanywa wilaya nzima ili kufanya Mikutano ya hadhara. Vikosi hivyo vimepelekwa maeneo ya...
Nilipita uwanja mmoja huko mbezi kwa msuguri uwanja ambao Juma Kaseja huwa anafanyia mazoezi binafsi kwani upo karibu na bangaloo lake,timu moja ya watoto ilifunga wenzao wakashangilia sana,mtoto...
CCM Mwanza kumwonjesha Kikwete Shubiri
Makada wa CCM wamo katika mkakati mkubwa wa kuhakikisha wanaonyesha chukizo lao kwa Mwenyekiti wa Chama hicho kutokana na madai ya kuwapuuza kwa muda mrefu...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samwel Sitta amesema taifa linakabiliwa na viongozi wenye sura mbili ambao ni wale wasio waadilifu wanaofikiri kwa kutumia matumbo kwa...
1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa yaKanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa...
Wakuu
kweli ccm imeshikwa pabaya na bila shaka inajua mwaka 2015 ndio mwisho wake na hili la kamati kuu ya ccm kukubali kwamba matokeo ya urais yawe na pingamizi yamedhihirisha hilo
natoa hoja...
Viongozi wa CHADEMA na wanachama na wapenzi wa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na huyu comedian Shibuda ni kumdharau na kumpuuza.Kwani kutumia muda mrefu kumjadili ni kumpa umaharufu ambao...
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar SMZ imepiga marufuku usafirishaji wa mchele toka visiwani Zanzibar kuja bara hii imekuja mara baada ya aerikali ya SMZ kuondoa kodi katika bidhaa hiyo:
My...
Wana JF na wapenda mabadiliko wote; nafikiri huu ni wakati muafaka wa CDM kuanza kutoa somo kwa wananchi juu ya mabadiliko ya msingi kwenye katiba mpya, Serikali ya ccm inaweza isitoe somo hilo...
Huyu Mheshimiwa amekuwa ni lulu miongoni mwa wasukuma mkoani SIMIYU kiasi ambacho uongozi wa Chadema unashindwa kumchukulia hatua kali za kinidhamu kwa kuhofia kufukuzwa kwa Shibuda kunafuatia na...
MGOMBEA BINAFSI KUWA PIGO KWA VYAMA VYA UPINZANI?
Chama Cha Mapinduzi kama mdau miongoni mwa wenye haki kisheria kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya Katiba, leo kimetangaza msimamo wake kuhusu mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.