Tuweke umoja wetu na utaifa mbele ktk swala la katiba Mpya: wananchi wote tuungane pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuweke umoja wetu na utaifa mbele ktk swala la katiba Mpya: wananchi wote tuungane pamoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, May 18, 2012.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  katiba bora ndo misingi wa taifa na katika swala hili tunahitaji kuacha tafauti zetu za kidini, kichama, nk, ili tumwe na katiba inayotoa maslahi kwa wote. CCM wakitaka ya kwao, CDM ya kwao, TLP ya kwao,nk tutakwama. Vyama Vya siasa vifanye kazi ya kuelemisha umma, lakini watanzania wawe huru toa mawazo yao hata kama yanapinga na chama chake. Swala la katiba tuweke ushabiri wa vyama pembeni.
   
Loading...