Cuf wajitoe sasa katika suk !

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Msimamo wa CCM kuhususiana na Muungano ni huu ulivyo sasa.Msimamo huu ni tofauti kabisa na ule wa CUF ambao ni Muungano wa Serikali tatu.Kwa kuwa mtazamo huu unazua tofauti za msingi kabisa kati ya vyama viwili vinavyounda serikali ya umoja wa kitaifa,hususan kule zanzibar,napendekeza CUF wajitoe sasa katika serikali hiyo wasije wakakosa uhali wa kuwepo kama chama.
 
huna hoja, CUF ipo katika serikali na 2015 itachukua serikali kamili ya znz.
 
Back
Top Bottom