Ufaransa, Rais apunguza mshahara wake na wa mawaziri kwa 30% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufaransa, Rais apunguza mshahara wake na wa mawaziri kwa 30%

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MtamaMchungu, May 18, 2012.

 1. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Wakati wabunge wetu wakihaha kudai kuongezewa "kipato chao" ili kufanya kazi kwa "ufanisi" zaidi, Rais mpya wa Ufaransa kapunguza mshahara wake na mawaziri wake kwa 30%.. read more  Source :: BBC News

  Najiuliza hawa viongozi wetu omba omba wanapata wapi ujasiri wa kujiongezea mishahara wakati hao wanaowaomba wanapunguza mishahara yao, is this a curse or ??
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ikiwa utaratibu huu uliowekwa na Presda wa Ufaransa, ungetumika hapa Bongo, I bet, nusu ya mawaziri wasingekuwa wanafanya party kubwa mara baada ya kuteuliwa kushika vyeo hivyo!
   
Loading...