CC inanguvu kuliko BUNGE na BALAZA LA MAWAZIRI kwenye maamuzi ya kitaifa.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,656
2,250
Huwenda CC Ya ccm ndiyo yenye watu wenye msimamo kuliko ata wabunge na Mawaziri kwani maamuzi na maazimio yao ndiyo hufuatwa.

Je unazani ni kwanini huwa hawapuuzwi kama wabunge na mawaziri.

CC imesema selikali mbili
CC Imesema ruksa mgombea binafsi
CC Iliniamua hatima ya baraza la mawaziri
 
mwenzangu wewe ni mwenyeji wa mkoa gani bongo hii?...nakusihi uache ukabila maana ni sera iliyopigwa vita na Mwalimu tokea enzi ya uhuru!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom