Sikonge kumekucha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikonge kumekucha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, May 17, 2012.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,230
  Trophy Points: 280
  Posted by Rweye | May 13, 2012

  Ni jana majira ya asubuhi kilipoitishwa kikao cha dharura kufuatia M/kiti wilaya wa CDM kurejea akitokea Dar kulikofanyika mkutano wa baraza kuu

  Kikao cha kamati tendaji ya wilaya kiliitishwa pamoja na mengine kuijadili taharifa ya baraza kuu,mara baada ya kusomwa taharifa hiyo ndipo wajumbe wakauvaa uongozi ambao ulionekana katibu wa wilaya kukiuka misingi ya uongozi

  Ikatolewa hoja ya kuomba uongozi(katibu wilaya) ajadiliwe,kabla hata mjadala haujaanza katibu akasusa kikao na kuondoka kikaoni kwa madai kwamba yeye si katibu tena na kama vipi awepo mwingine

  Kuondoka kwa katibu kuliwapa nafasi ya kuteua katibu wa mda mpaka hapo itakapofanyika uteuzi wa kaimu kabla ya uchaguzi rasmi

  My take:Kwa mtizamo wa haraka ni wazi katibu alikuwa tatizo kwani kila mwanachama alifurahi na ilishasemekana kwamba katibu alikuwa mbioni kupokea 3m kutoka kwa S.Nkumba mb.wa Sikonge ili kuisambaratisha Chadema

  Source,mimi mwenyewe,mjumbe kamati tendaji wilaya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hongereni kwa kuwa makini na mamluki.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaitwa nani weye?
   
 4. B

  Bubona JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kususia kikao kunatoa picha kwamba jamaa hakuwa kamanda wa ukweli!!!
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jina la nini sasa wewe?

   
 6. A

  AZIMIO Senior Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kamanda wa ukweli hakiimbii vita.hongereeni kwa maamuzi mazuri.
   
 7. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mamluki chadema 90% wanachama wa ukweli 10%
   
 8. p

  pembe JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Huyo katibu ni mchumia tumbo na wako wengi CDM
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Bora mmestuka mapema
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hiyo inaitwa VUA GWANDA VAA GAMBA
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Amavaa gamba. Duh sasa cdm ni moto kweli.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...