Pinda: Mabadiliko sawa ila yaende ngazi kwa ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda: Mabadiliko sawa ila yaende ngazi kwa ngazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, May 11, 2012.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Leo ktk uwanja wa Sokoine akiwa anazitua sensa ya watu na makazi pamoja kuwasha mwenge wa uhuru Mh. Waziri mkuu amezunguzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na:
  • kuwataka watu wajiepushe na ugojwa hatari wa ukimwi
  • watu wajiepushe na matumizi ya madawa ya kulevya
  • mtazamo wa baraza jipya la mawaziri kuwa litafanya kazi nzuri kama alivyo sema Rais

  pamoja na hayo yote pia aliongelea umuhimu wa kutunza amani tuliyo nayo kwa sasa kuwa watu wengi wanataka mabadiliko hilo sawa ila mfumo tulio nao sasa mabadiliko si ya lazima alitolea mfano wa nchi za Misri, Libya, nk ambako watu walika mabaliko ya ghafra lakini sasa wanaishi kwa hofu sana

  akimunukuu waziri mkuu wa Uingereza aliyepita Tonny Blair " evolution is better than revolution " akaongeza kuwa mabadiliko yenye tija ni yale yanayo kwenda ngazi kwa ngazi huku yakifuata kanuni za demokrasia
   
 2. R

  RMA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kauli nzuri kwa vile ndivyo watanzania wanavyofanya kwa sasa! Hajakosea! Pamoja na wananchi kupigwa mabomu na hata wengine kuuawa, bado hawafanyi mapinduzi bali kwa hiyo hoja yake ya "evolution" ndiyo wananchi wanaifanyia kazi ya kujivua magamba na kuvaa magwanda ili waing'oe CCM taratibu hapo 2015. Ahsante Pinda kwa kauli nzuri inayodhihirisha wazi kuwa hata wewe umeanza kung'amua kuwa nguvu ya umma si upepo bali ni kimbunga!
   
 3. z

  zamo Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wooooh hii kauli ya ( mabadiliko yenye tija ni yale yanayo kwenda ngazi kwa ngazi huku yakifuata kanuni za demokrasia) ni ya kihuruma huruma vile, huku dalili za kukata tamaa zikiwa zinaonyesha waziwazi​
   
 4. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mapinduzi ya kweli yanamkomboa mkandamizwaji- the oppressed na mkandamizaji-the oppressor
   
 5. z

  zamo Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wooooh hii kauli ya ( mabadiliko yenye tija ni yale yanayo kwenda ngazi kwa ngazi huku yakifuata kanuni za demokrasia) ni ya kihuruma huruma vile, huku dalili za kukata tamaa zikiwa zinaonyesha waziwazi
   
 6. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nilicho muelewa ni kwamba haya mabadiliko ni mazuri ila yafanyike kupitia sanduku la kura tu
   
Loading...