Je CCM mumewachagulia wa zanzibar katiba?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Swali raisi inaonekana bado CCM wanaamini wao ndio wenye kuwa na uamzi juu ya katiba ndo maana wameona wang'ang'anie vipengele vyao!Je kuna maana gani ya kuweka tume yakuratibu maoni kwa wananchi wakati tayari wao walishatoa msimamo wao??Ikiwa namaana hata wazanzibar maoni yao yatakuwa hayana msingi.
Wanaposema Muungano usiguswe,waruhusu kwenda mahakamani kuhoji ushindi wa rahisi huu ni uhuni.
 
Back
Top Bottom