Nimekuwa nikijiuliza kuwa kwa nini wa-Tanzania tumefikia hapa tulipo bila majibu ya maana,hasa ikizingatiwa kuwa sasa hivi ili upate haki yako lazima kuwepo na external pressure kama migomo...
Hivi jamani meli ya samaki wa Magufuli imezama, samaki tunao hatuvui, kisingizio ni maskini hatuna meli za uvuvi... sasa tumetaifisha meli na kuizamisha maana yake nini? Hivi kweli waungwa...
Barua ya wazi kwa Malkia wa uingereza, MNIRUHUSU niongee nae japo kwa maandishi na najua wale wenzetu kule westminister mtafikisha ujumbe wangu.
Wale wenzetu wanaokimbilia umoja wa mataifa...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar leo imesema kuwa matumizi ya neno Jamhuri ya Watu wa Zanzibar inawezekana ikiwa wazanzibari wengi watatoa maoni ya kulirejesha jina hilo. Kauli hiyo imetolewa na...
Nimekuwa nikijiuliza kuwa kwa nini wa-Tanzania tumefikia hapa tulipo bila majibu ya maana,hasa ikizingatiwa kuwa sasa hivi ili upate haki yako lazima kuwepo na external pressure kama migomo...
Sheria mpya ya vyama imepitishwa inchini Kenya ambapo itamuwezesha Mbunge au diwani wa chama chocote anaweza kuhama muda wowote kwenda chama kingine bila kulazimika kuachia nafasi yake ya...
Akijibu swali la mbunge wa . . . . Pinda amesema mahindi kutoka mpanda yangepaswa kusafirishwa kwa reli kupelekwa shinyanga reli ambayo (namkumbusha imehujumiwa na RITES) haifanyi kazi. KATI YA...
Wadau,
Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.
Swali langu ni je, ni nani...
Jana akiwa Arusha NMC, Mheshimiwa Mbowe alitoa kauli ifuatayo:-
"nakwenda kulifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri vivuli ili kuliandaa vizuri na kuwasilisha bajeti mbadala kwenye Bunge...
Leo ni siku ya wakimbizi duniani. Tanzania inaungana na Mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku hii. Tangu kupata Uhuru Tanzania imekuwa Taifa lililo mstari wa mbele katika kusaidia...
Ada ya mja hunena " Uungwana ni Kitendo" na Vitabu vya dini vinasema kuwa moja ya Dalili za Mnafiki ni Atoapo Atoapo Ahadi Hatekelezi. Mwaka 2005 wakati Kikwete akiwania Urais, "Ahadi Yake Kuu...
17 FEBRUARY 2012
Na Peter Mwenda, Kisarawe
MADIWANI katika halmashauri ya Kisarawe, mkoani Pwani, wameitwa mbumbumbu kwa kuidhinisha sh. milioni 500 kwa ajili ya bajeti ya maendeleo ya elimu kwa...
Bajeti gani itengenezwe na kusimamiwa na vikundi vinne tofauti? Kwanza ilianza na Wizara ya Fedha chini ya Waziri Dr.William Mgimwa. Pili,Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Fedha na Uchumi.Tatu,Kamati...
Kuna wabunge wengne wa ccm ni vichwa hasa huyu mpina.Simsifii bali ni haki yake kupewa big up.Sababu kuu ni Kupinga bajeti dhaifu ya serikali inayowanyonya na kuwakandamiza wananchi kupitia...
Ushauri wangu kwa ZZK baada ya kauli ya kifedhuli ya Mnyika dhidi ya rais wa JMT mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Chadema kimpe onyo kali na kama akikaidi na kubebwa na viongozi wenzake basi Zitto aitose...
Tunaelekea Wapi watanzania Jamani. Kuna Mbunge jana wa CCM mwanamke amesema hayo.. Hivi mwananchi hapo kweli ataweza kununua Tunda kweli ingawa mkulima ndo anafaidika. Parachichi sa hivi ni 700/=...
Heshima Mbele,naomba kuwaletea uteuzi mpya alioufanya Muungwana na atwaapisha leo..naomba muangalie majina ya hao watu na wasifu wao..
Jaji Amiri Ramadhan Manento---Mwenyekiti wa Tume
Mahfoudha...
"Taifa letu tumejijengea heshima ya kupoteza fedha za umma kwa mambo yasiyo na umuhimu mkubwa. Hata hivyo, lazima tuendelee kupunguza ukubwa wa misafara yetu nje ya nchi. Aidha tusikubali mialiko...
Leo muheshimiwa rajabu mbunge kwa tiketi ya cuf.. Amesema kuwa kuna bajeti imeandaliwa na prof..LIPUMBA... KWA mwaka wa ffha 2012/13.. Kutokana na bajeti ya ccm kupingwa vikali NA VYAMA PINZAN NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.