Waziri mkuu akiri reli imechangia ukali wa njaa mkoani shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu akiri reli imechangia ukali wa njaa mkoani shinyanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Jun 21, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Akijibu swali la mbunge wa . . . . Pinda amesema mahindi kutoka mpanda yangepaswa kusafirishwa kwa reli kupelekwa shinyanga reli ambayo (namkumbusha imehujumiwa na RITES) haifanyi kazi. KATI YA WALIOPINGA (wachache kumubunge) NA WALE WA NDIOOOOOOOOOOO wa ccm NANI AMETHIBITISHA KUWA SAHIHI KWA VITENDO?

  TARATIIIIIIBU NAANZA KUONA WANAANZA KUWA WAJASIRI KUTUAMBIA WAMETUFELISHA!!!!!!!!!!

  karibuni Tume ya katiba Mwigulu nchemba aka ikonomisti festi klasi mjitoe muhanga kwa hoja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...