Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 1. Siasa za Tanzania. - YouTube
Nuru ya uongozi wa siku zijazo Tanzania...nina matumaini sasa.
Huyu mkurugenzi anaburuzwa lini kwenye mahakama?
Baada ya viongozi, asasi na sisi wananchi wa kawaida kuendelea kuzozana na kupigiana kelele huku wazenj wengi wakiendelea kulaumu kila kitu kuanzia umaskini wao hadi kuporomoka kwa maadili kwenye...
Leo kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge la Tanzania, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo John John Mnyika aliamuriwa kutoka bungeni baada ya kukataa kufuta kauli...
Kutoka Usalama wa Taifa,
Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
Bungeni juzi mchana muheshimiwa Mnyika alisema Rais jk ni dhaifu, kwa kitendo hicho akaonekana ametukana na...
Mimi hushangazwa sana na viongozi wetu wa Smz kusema kuwa Muungano ukivunjika Wazanzibar waloko Tanganyika waatapata tabu.
Viongozi wenye mawazo haya hawafai kabisa kuwa viongozi wa Serekali...
sasa naona kwanini lowasa anapingwa na wanaccm mle ndani,lowasa hawezi kukubali mawazo ya mwanakwaya komba au mtu kama lusinde nape na wengine wa aina hiyo.sababu upeo wao wa kufikiri ni mdogo...
kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.
"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook...
Ni zaidi ya miaka 35 toka serikali ianzishe serikali za vijiji ,ambazo ndio msingi wa maendeleo na demokrasia zikiongozwa na wenyeviti wa vjiji na vitongoji ,lakini viongozi hawa wamekua wakifanya...
Wana jamvi kuna jambo linatatiza sana kichwa changu toka bajeti hii ya serikali isomwe. Kitakwimu deni la taifa linakisiwa kuwa trillion 20. Na uwezo wa pato letu la ndani ni wastani wa trillion 8...
Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi...
Waziri wa nchi ofisi makamo wapili wa Rais Mh Mohammed Abuod
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezuwia maeneo yake kufanyiwa utafiti wa utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia kufuatia...
ndugu zangu naomba mniambie maana halisi ya mbunge anaposema ameonga mkono hoja kwa 100% alafu baadae analalamika kuwa jimbo lake linamatatizo mengi na hayatatuliwi!! sasa hapa mm ndio sielewi...
Wed, May 9th, 2012
Wed, May 9th 2012/ Tanzania |
Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Idd inspects some of the farming projects in Jerusalem over the weekend. Israel has...
Naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambaye pia ni waziri kivuli wa Fedha Zitto Kabwe leo atawasilisha bajeti mbadala ya upinzani bungeni.
Macho na masikio ya watanzania yanatarajiwa kushuhudia...
Wahenga wanatwambia kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usiwatupie maadui zako mawe. Ninapata shida sana kufuatilia hoja za wabunge wa ccm bungeni, kama kuna kitu wanafanikiwa ni kuwakejeli wabunge...
Nawasikiliza wabunge wa pande zote mbili yaani wa CCM na wale wengine wa CHADEMA, CUF, NCCR, n.k. Ninachokiona kutoka kwa wale wa CCM ni siasa na kutozingatia nini kinaendelea sasa katika taifa...
Ndugu wana jamvi,
Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaongozwa kwa kanuni na sheria! leo baada ya Mh Mnyika kutamka kile alichotamka, na kutakiwa kufuta kauli na...
Waziri wa katiba na sheria Zanzibar Abubakar Khamis Bakar amesema jukumu la kuliondoa jina la serikali ya Mapinduzi na kuliweka Jamhuri ya watu waZanzibarlinaweza kufanyika kupitia kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.