Kenya: Mbunge na diwani ruksa kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uwakilishi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya: Mbunge na diwani ruksa kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uwakilishi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Jun 21, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Sheria mpya ya vyama imepitishwa inchini Kenya ambapo itamuwezesha Mbunge au diwani wa chama chocote anaweza kuhama muda wowote kwenda chama kingine bila kulazimika kuachia nafasi yake ya uwakilishi hii ni kwa mujibu EA RADIO NEWS.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Dah,safi sana hii.

  Mtu mpaka miaka mitano inaisha unakua ushapitia karibu vyama vyote kupunga upepo!!
   
Loading...