Big up mhe.Luhaga Mpina mbunge wangu na jembe langu la ukweli kwa kupinga bajeti ya KIKOMEDI!

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,088
257
Kuna wabunge wengne wa ccm ni vichwa hasa huyu mpina.Simsifii bali ni haki yake kupewa big up.Sababu kuu ni Kupinga bajeti dhaifu ya serikali inayowanyonya na kuwakandamiza wananchi kupitia kuongezwa kwa kodi kwa mlaji wa kawaida hasa ktk vinywaji na vyakula pia mawasiliano ilhali msamaha wa kodi unadunda kama kawa na ufisadi unaabudiwa na vigogo!,fedha za maendeleo only 30% ya bajeti wakati kwenye kula bata na kununua ma simu,ma smg,ma pete ya dhahabu na na laptop,ma shangingi na maposho ya serikali na ma safar ya J.K aka vasco da gama ni 70%!.Hongera mpina!
 
Kwa tabia ya ccm, ni lazima wafukuze, ukiwapinga tu kwa kusema ukweli, jiande kukutana na mkono wao
 
Pana uwezekano wa baadhi ya wabunge wa magamba kuvuliwa ubunge kwa wale watakaogomea bajeti.
 
Kila mmoja akileta thread ya kumpongeza mbunge wake itakuaje? Mod tupa jalalani huu uchafu.
 
Siamini kama ndani ya ccm kuna msafi wanajitokeza ni kwa maslahi yao binafsi.
 
Kuna wabunge wengne wa ccm ni vichwa hasa huyu mpina.Simsifii bali ni haki yake kupewa big up.Sababu kuu ni Kupinga bajeti dhaifu ya serikali inayowanyonya na kuwakandamiza wananchi kupitia kuongezwa kwa kodi kwa mlaji wa kawaida hasa ktk vinywaji na vyakula pia mawasiliano ilhali msamaha wa kodi unadunda kama kawa na ufisadi unaabudiwa na vigogo!,fedha za maendeleo only 30% ya bajeti wakati kwenye kula bata na kununua ma simu,ma smg,ma pete ya dhahabu na na laptop,ma shangingi na maposho ya serikali na ma safar ya J.K aka vasco da gama ni 70%!.Hongera mpina![/QUOTE]

ongeza na kumiliki ma SMG ya kumiliki mafisadi
 
Kuna wabunge wengne wa ccm ni vichwa hasa huyu mpina.Simsifii bali ni haki yake kupewa big up.Sababu kuu ni Kupinga bajeti dhaifu ya serikali inayowanyonya na kuwakandamiza wananchi kupitia kuongezwa kwa kodi kwa mlaji wa kawaida hasa ktk vinywaji na vyakula pia mawasiliano ilhali msamaha wa kodi unadunda kama kawa na ufisadi unaabudiwa na vigogo!,fedha za maendeleo only 30% ya bajeti wakati kwenye kula bata na kununua ma simu,ma smg,ma pete ya dhahabu na na laptop,ma shangingi na maposho ya serikali na ma safar ya J.K aka vasco da gama ni 70%!.Hongera mpina!

Hakika, unachofanya Mbunge Mpina ni politica Maturity, na husukumwi na dhamira ya kinafiki kama wafanyavyo wabunge wengine, mfano wa wabunge wa CCM bungeni. na-quote: Naunga mkono bajeti ni nzuri kwa asilimia 300% halafu baadaye anaanza kutaja matatizo ya jimbo lake maji, shule, barabara, mazao, je! hii ni busara? acheni ushabiki wa kisiasa.

Ahsante,

Dimmosen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom