SERIKALI iache kutapatapa...BAJETI ni mbovu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SERIKALI iache kutapatapa...BAJETI ni mbovu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 21, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Bajeti gani itengenezwe na kusimamiwa na vikundi vinne tofauti? Kwanza ilianza na Wizara ya Fedha chini ya Waziri Dr.William Mgimwa. Pili,Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Fedha na Uchumi.Tatu,Kamati Maalum ya Wabunge wa CCM.Na nne,jana Waziri Mkuu ameunda Kamati Maalum ya Mawaziri 'kuitengeneza' bajeti hiyohiyo.This is too much.It is absurd!(na sifuti kauli yangu)

  Serikali gani sikivu ingefanya jitihada kama hizi za kuhakikisha Bajeti mbovu inapita? Kama kitu kina kasoro,si kitolewe kikarekebishwe kwanza Wizarani? Serikali iache kutapatapa na kuendelea kutapanya fedha za umma kwa Kamati zisizo na tija. Bajeti ni mbovu na iondolewe Bungeni ikatengenezwe upya...
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Kuna kitu naendelea kuichunguza hapa, hiyo Kamati ya wabunge wa CCM inatambulika kwenye Katiba ya CCM?
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ni magumashi tu Mkuu.Haitambuliki na Sheria yoyote ile.Wizi tu basi...
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kunithibitishia hili.
   
Loading...