BAJETI inawajali wakulima. Embe badala ya kuuzwa 50/= linauzwa 300/=

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Tunaelekea Wapi watanzania Jamani. Kuna Mbunge jana wa CCM mwanamke amesema hayo.. Hivi mwananchi hapo kweli ataweza kununua Tunda kweli ingawa mkulima ndo anafaidika. Parachichi sa hivi ni 700/= huku kwetu.

Wawekezaji watatuua jamani. Halafu watu bado wanashangilia bajeti
 
Mkuu mimi nilipo embe linauzwa Tsh.700-1000, parachichi 600-1000, nanasi 1500-2000, papai 500-1000, nk. nk. nk. bei ya matunda iko juu sana wakati tuna miti ya matunda ya kutosha. hayo ni matunda tu hujaangalia vitu vingine ni balaa.
 
Inaonekana tunafanya Mambo ili wawekezaji watoe pesa za kutosha. Si ili kumpunguzia Mwananchi Gharama za Maisha.
 
Back
Top Bottom