Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?
 
Nani kakwambia ukiwa mchungaji basi uwe wa kupelekwapelekwa tu!? afu kumbuka pale ni bungeni na sio kanisani
 
alifanyaje mkuu wangu maana hapa niko sehem hakuna radio wala tv

Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?
 
Naweza kuelewa kwa nini wabunge wa CHADEMA wanakuwa wakali maana wingi wa CCM unatumika kuwanyanya sasa na mara nyingi ukimnyanyasa mtu mwisho ata-retaliate. Hata hivyo ningependa kuona Mchungaji Msigwa akipunguza rabsha kidogo, avute pumzi, ni mzuri sana kwenye kujenga hoja. Pia Wenje, atulie kidogo
 
Hiyo Nidhamu Mbovu ni IPI? kuliko zile za Mchemba, Komba bungeni na wabunge wa CCM kushangilia na kuchangia pesa kwa Matusi ya Mchemba?

Kuna Usawa hapo? Naibu Spika alikaa kimya; Waziri wa Sheria wakati wa Mchemba alitoa pesa... CCM imeishiwa Hekima?

Yuko wapi angalau Rais Mstaafu Mwinyi? ana hekima anaweza kuwasawazisha kidogo
 
alifanyaje mkuu wangu maana hapa niko sehem hakuna radio wala tv

Mkuu wakati wabunge wengine wanatoa michango yao, yeye anawasha kipaza sauti na kuongea kiasi kusababisha kelele, alipoonywa hakusikia akaendelea kuzungumza.
 
Ha haaa Nyinyiemu kwa kulalamika wakifanya wao poa tu akifanya wa upinzani nongwa ,acheni hizo badilikeni.
 
fuatilia shule alizosoma pengine alijipa mwenyewe kama christopher mtikila, Kakobe na mama Lwakatele
 
Naweza kuelewa kwa nini wabunge wa CHADEMA wanakuwa wakali maana wingi wa CCM unatumika kuwanyanya sasa na mara nyingi ukimnyanyasa mtu mwisho ata-retaliate. Hata hivyo ningependa kuona Mchungaji Msigwa akipunguza rabsha kidogo, avute pumzi, ni mzuri sana kwenye kujenga hoja. Pia Wenje, atulie kidogo

Kujenga hoja kwa kuwasha kipaza sauti wakati wabunge wengine wanachangia? huu si ukosefu wa uvumilivu.

Mkuu hakuna mbunge anayeonewa, ila wapinzani wengi hawazijui kanuni za bunge, wengi ni vijana wa vijiweni walioshindwa kutofautisha kati ya bunge na mitaa. Mh Lukuvi amewachana laivu leo.

Kwa mtazamo wangu adhabu ya kumtoa mbunge nje ya bunge haitoshi.
 
haki ya nani ningekuwa nipo mjengoni, ningeomba mpambano na komba kupitia chama cha ngumi za ridhaa, nimuoneshe kazi
 
Mfaa maji haishi kutapatapa watu wamewastukia, ccm na bajeti yao ya kisanii sana
wanajaribu kufuta aibu yao kwa kutukana na kuwapakazia wabunge wa chadema.
 
Msigwambunge wangu, ila ananiboa sana. too low huyu jamaa kaniudhi sana leo

ataendelea kukuuzi, na hutaweza mtoa madarakani, kama ilivyokuwa 2010 kura yako moja ilivyoshindwa kumzuia msigwa,

msigwa ni mtetezi wetu . na mambo anayofanya ni kwa manufaa yetu, bora atukane ufike kuliko alale kamaa ile nyara za serikali (TOKA HIFADHI YA GOMBE ),

MSIGWA, CDM - Mwendo mdundo
 
Ccm acheni upumbavu, wakati mbunge chiku abwao anachangia kuna mbunge yule msanii kutoka sikonge naye aliwasha mike na kuanza kuomba muongozo, kabla hajaambiwa na kit. Je huo ni ulikuwa ni ustaarabu?. Au cos yeye ni gamba kwahiyo sio dhambi?. Achen ujinga wenu. Mtakoma.
 
Back
Top Bottom