Nabii Wetu !!

victor11

Member
Feb 24, 2011
67
7
"Taifa letu tumejijengea heshima ya kupoteza fedha za umma kwa mambo yasiyo na umuhimu mkubwa. Hata hivyo, lazima tuendelee kupunguza ukubwa wa misafara yetu nje ya nchi. Aidha tusikubali mialiko ya nje kwa kuwa tunalipiwa nauli na kila kitu. Hali hiyo itatufanya tusiwe huru wakati wa majadiliano". - Mwl. Nyerere, 1966, Juni 13 wakati akihutubia Bunge.
 
Back
Top Bottom