SIKU mojabaada ya Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kutangazakukaribisha maoni yote kuhusu Muungano, yakiwemo ya kuuvunja, Waziri asiyekuwana Wizara Maalumu wa Serikali ya...
wadau nimejaribu kuangalia katika bunge letu kuna wanadhimu wawili..
Kambi ya Upinzani na kambi ya Magamba
Kambi ya Upinzani Tundu Lissu
Kambi ya Magamba William Lukuvi..
Yupi ni mnadhimu bora...
Niliyozungumza bungeni tarehe 5 Julai 2011 wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala bora na Uhusiano na Uratibu)
MHE. JOHN...
Hello guys, I've been in Zanzibar again these days and met many investors, major problems they have is how to get the qualified personell as they have serious problems to bring the staff from...
Wananchi wa Tarafa ya Namswea- Wilaya ya Mbinga waishio Dar es salaam walichanga pesa ili kununua vifaa vya maabara kwa ajili ya Ruanda Secondari. Mheshimiwa akatoa pendekezo kuwa atanunua vifaa...
Kwanza nikupongeze kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi hiyo. ingawa nilipata wasiwasi kwa uteuzi huo.
ni wapi wasi wasi wangu ulipojikita na nikajiridhisha niko sahihi
wewe...
Kwa muda mrefu wananchi wa Same wamekuwa wakilalamika wizi na uharibifu wa mazingira unaofanywa na wawekezaji wanao chimba bauxite kijiji cha Marieni kata ya Chome wilaya ya Same bila kupata...
Sasa imekuwa kawaida kwa viongozi wetu wa kisiasa kusema jambo na wanapobanwa kuwa halikuwa sawa wanakanusha kwa kusema kuwa hawakusema.
Huu siyo uungwana.
Tunajua kukosea ni ubinadamu...
Katika kupitia michango mingi ya wananchi wa Tanzania juu ya maendeleo na changamoto zinazokibali nchi yao ni vema Kiongozi wa nchi JK kuwa mwanachama hai ili aweze kusoma na kuelewa mawazo na...
Kutokana na mjadala unaoendelea Bungeni juu ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012-13, Wabunge wa chama cha wananchi CUF wamemuomba Spika akiruhusu chama hicho kuandaa bajeti kivuli ya upinzani...
WanaJF jana wakati mbunge wa ole kutoka zanzibar, kupitia CUF akichangia hotuba ya bajeti aliomba bunge limpe nafasi yeye na chama chake wawasilishe bajeti mbadala. Ombi hili lilitokana na ukweli...
Wana JF
Kwa kweli huyu mwigulu anatuaibisha sana sisi wote ambao tumesoma chuo kikuu sehemu ya mlimani. Niliposikia kwa mara ya kwanza akijisifu kuwa yeye ni mchumi wa daraja la kwanza kutokea...
Wadau kumbe wapo karibia 180 wenye 1 Milion USD huko USwiss.
Kenyans have stashed away a staggering Sh72 billion (818 million swiss francs) in Swiss Banks according to a new report by Swiss...
Mbunge kupitia tiketi ya chadema.. Mhe, mbowe,, wa hai,, ameibuka bungeni na kuipa makavu live,, bila chenga serikali ya ccm,, kwa maovu yake,,,na madhambi yake..
Mpaka juzi moyoni mwangu nilikuwa naamini Mnyika angefaa kuja kuwa Raisi wangu miaka ijayo. Hii ni kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu Zitto ambaye ni dhahiri, pamoja na umahiri wa kufanya kazi...
Ni aibu sana kwa wabunge wa CCM kwa kulinda serikali yao na mambo ya kipuuzi kama kuchangai bajeti ambayo haimnufaishi mwananchi hasa yule mpiga kura na aliyetumbukiza kura yake kumchagua mbunge...
kina nanii wamezoea kukata mapanga,kuchinja,na kutega ajari,mawazo ya mtu yanaheshimiwa,na mkipayuka,au kukulupuka mnawapa nguvu wanawaita wadhaifu,hasa kwa wewe uliyetangaza vita binafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.