Meli ya samaki wa Magufuli kuzama, Serikali na vyombo vyake si dhaifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli ya samaki wa Magufuli kuzama, Serikali na vyombo vyake si dhaifu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by decruca, Jun 21, 2012.

 1. d

  decruca JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi jamani meli ya samaki wa Magufuli imezama, samaki tunao hatuvui, kisingizio ni maskini hatuna meli za uvuvi... sasa tumetaifisha meli na kuizamisha maana yake nini? Hivi kweli waungwa inaingia akilini hii. Hivi tunakaka nini watanzania?
   
 2. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  LAANA hiyo, kila malipo yapo hapa hapa duniani, Bahari, ardhi na kila kitu ni cha Mwenye ez Mungu leo watu wakamatwe na kutaifishwa na ukiwaangalia wale watu wanatia imani! hiyo ni malipo ya Mwenye ez Mungu juu ya MAGUFULI mzee wa misifa! bado hukmu ya watu wa Kigamboni inamjia!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,115
  Trophy Points: 280
  Serikali yeu Gangwe Bwana, yaani imekamata meli ya uvui na kuicha izame badala ya kityufaisha na kuitumia kuvulia samaki, aaaahh kweli nanihii gangwe bwana
   
Loading...