Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa...
3 Reactions
139 Replies
15K Views
Mchungaji msigwa akiaongea kwa jazba kidogo amelaumu kitendo cha Nchemba kuwaambia CDM wana pepo mtaka vyeo na wanahitaji maombi, akiendelea kufafanua anasema hata huko kwenye theology wanasema...
12 Reactions
104 Replies
9K Views
Jamani mie nashindwa kuelewa; mtu unaunga bajeti mkono mia kwa mia pamoja na utititiri wa malalamiko na ukosoaji wa bajeti. Je hii ndiyo kanuni ama ndio utaratibu? Ingebidi kila mbunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uranex on the hunt for Songea JV partner PERTH (miningweekly.com) - Uranium explorer Uranex on Wednesday confirmed that it was in negotiations with potential joint venture partners for an...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hujachelewa kuanza utafiti na kugundua kwamba tatizo liko zaidi kwenye wale wabunge wanaotumia kauli ya isemayo "Naunga mkono hoja" kuliko wasemao "Siungi mkono hoja". Sasa hivi Spika amekuwa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Waziri katika ofisi ya makamo wapili wa Rais Mh Mohammed Aboud Serikali ya mapinduziZanzibarimesema inaendelea kufanya mawasiliano na ofisi za kibalozi zilioko mjini Dar es Salaam ili zifungue...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Posted on June 20, 2012 by zanzibaryetu Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake (CUF) Omar Ali Shehe akiwa pamoja na Mwakilishi wa kuteuliwa Panya Othman (CCM) wakiingia katika Ukumbi wa Baraza la...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Written by administrator // 19/06/2012 // Habari // 9 Comments TUME ya Mabadiliko ya Katiba iko tayari kupokea maoni kuhusu masuala yoyote yanayohusu nchi ikiwa ni pamoja na yanayotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku nikiwa nahangaika kupinga hoja ya kumtambua mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama mtu dhaifu siku hiyo hiyo ya jana, nikiwa naangalia Taarifa ya Habari TBC1 ikatangazwa kwamba Mheshimiwa...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Tume ya Warioba yatoa msimamo na Ratifa Baranyikwa Tanzania Daima TUME ya mabadiliko ya Katiba imesema suala la Muungano litaguswa na iko tayari kupokea maoni yoyote kuhusu aina ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa kiasi bajeti zote mbili ya upinzani na ya serekali iliyopo madarakani.Nimesikia michango ya wabunge wa pande zote mbili,Nimemsikiliza sana Zito Kabwe na wenzake.Natumaini upinzani...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Last week wakati Nape alipokutana na watu wa mafinga kama sikosei ni walimu wale. Eti wanalalamika kuwa kuna watoto wanakaa chini. Sasa nkawaza Mafinga ndo ambapo kuna ule msitu wa Sao Hill ivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika vikao vilivyo pita vya Bunge,tuliona jinsi ripoti ya mkaguzi wa mahesabu wa serekalili ilivyo ibua uozo/ufujaji wa hela ulivyokuwa mkubwa,Vyama vya upinzani walipiga kelele mpaka mwisho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
visit: Arusha Mambo - Website Coming Soon! click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." LIKE the Radio
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri asie na wizara malumu na Muwakilishi wa Kiembe Samaki Mh Mansour Yussuf Himed Written by Foum // 20/06/2012 // Habari // 9 Comments Mheshimiwa Mansour Yousouf Himid, Mwakilishi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA toleo Na. 215 la Raia Mwema, Jenerali Ulimwengu alitaja moja ya mapungufu ya watawala wetu Tanzania kwamba ni ile hulka yao ya kutotaka kujifunza na kuiga kutoka kwa wenzetu wa nje...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
In have just seen post ya zitto kwenye FB anapendekeza kuongezeka kodi kwa watumishi, an easy pray siku zote. Sikutegemea, mimi nilidhani CDM mko ki ukombozi zaidi sasa mnataka tena kuleta hoja...
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Zanzibar kibano, Hong Kong huru Written by Muunguja // 19/06/2012 // Makala/Tahariri // No comments KAMPENI za wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba kutaka muungano huu wa Tanganyika na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF habari za ndani toka kamati kuu ya chama kinachotawala mioyo ya Watanzania(CHADEMA) zinasema hivi karibuni kutakuwa na badiliko kubwa la baraza la Mawaziri kivuli na sambamba na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom