Huku kukiwa na tishio la mgomo wa madaktari,walimu nao waja na yao

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
Nimekuwa nikijiuliza kuwa kwa nini wa-Tanzania tumefikia hapa tulipo bila majibu ya maana,hasa ikizingatiwa kuwa sasa hivi ili upate haki yako lazima kuwepo na external pressure kama migomo n.k,tayari madaktari katika kile kinachoelezwa kama kupuuzwa kwa madai yao wametishia kugoma kuanzia jumamosi iwapo serikali ya CCM haita tekeleza madai yao.Hilo likiwa halijapata ufumbuzi CWT na walimu kwa ujumla wameanza kuitisha serikali,tazama hii, HEBU TIZAMA TOFAUTI YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TANZANIA(AJIRA MPYA CHETI)MWL 244,400/=,AFYA 472,000/=,KILIMO/MIFUGO 959,400/=,SHERIA 630,000/=.(DIPLOMA)MWL 325,700/=,AFYA 682,000/=,KILIMO/MIFUGO 1,133,600/=,SHERIA 871,500/=,(DEGREE)MWL 469,200/=,AFYA 802,200/=KILIMO/MIFUGO 1,354,000/=SHERIA 1,166,000/= JE UPO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA HIVO KTK UTUMISHI WA UMMA WA TAIFA MOJA LENYE SOKO LA BIDHAA LILILO NA MFUMUKO WA BEI WA KUTISHA?UNGANA NA CWT KUDAI NYONGEZA YA MISHAHARA 100%,TEACHING ALLOWANCE,HARDSHIP ALLOWANCE.FOWARD KWA WALIMU WALAU 20. My take hao CWT wata-withstand na kusimamia hoja yao?je ni njia ya kujisafisha na kujisahaulisha kuhusu madai ya walimu nchini kuwa CWT wanafuja hela za walimu zinazotokana na makato yao ya 2% ya mishahara kila mwezi?
 
Back
Top Bottom