Mhe..rajabu..KATULETEA BAJETI YA PROF LIPUMBA.. NAOMBA SERIKALI IKUCHUKUE..

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
Leo muheshimiwa rajabu mbunge kwa tiketi ya cuf.. Amesema kuwa kuna bajeti imeandaliwa na prof..LIPUMBA... KWA mwaka wa ffha 2012/13.. Kutokana na bajeti ya ccm kupingwa vikali NA VYAMA PINZAN NA BAADH YA WANA CCM WAZALENDO kukosolewa mno na bajeti ya upinzani.. Nayo inapingwa na ccm.. Kwa hiyo amependekeza.. Itumike bajeti ya mtaalam mahiri wa uchumi PROF. LIPUMBA..ILOYO ANDALIWA HIV KARIBUNI YA MWAKA WA FEDHA 2012/13..! NI JAMBO LA MAANA MI NAKUBALIANA NAE KWA KUWA MHESHIMIWA LIPUMBA ANAHESHIMIKA DUNIANI KOTE.. KWA H!YO ANAWEZA AKAWA NA JAMBO JIPYA NA MASAHIHISHO YA TULIPOKOSEA NA KUTUREKEBISHA TUKAFIKA TUNAPOTAKA KUFIKA KWA MAENDELEO YA TAIFA ZIMA! MY TAKE TU MPE NAFAS LIPUMBA ATUSAIDIE NI MUDA MUAFAKA.. MWANA JAMIFORUMS NIN MTAZAMO WAKO KATIKA HILI TUMPE LIPUMBA ATUSAIDIE AU TUENDELEE KUZUBAA?
 
Kwani ccm na cuf kila mmoja ana bajeti yake? na kama cuf wana bajeti yao itakua sawa 2 na ya ccm
 
ilete hiyo bajeti wadau waidadavue isije kuwa ni ileile ya magamba!
 
lakini CCM na CUF si wanandoa tatizo liko kwa CCM kuongea na Mke wake amsaidie mbona hata kwenye familia wakati mwingine mwanamke hua anafanya vizuri kuliko mwanamme
 
Na huyo Mhe. Rajabu amelewa kabisa ---- yani yeye ni mpinzani alafu anadharau upinzani kama sio ujinga ni nini ??? Kuwani anafikiri hawa Wafisadi wampokea hoja yake kupeleka Budget ya Prof. Lipumba ??? Aise kuna wengine Bungeni ni mayai kabisa. Sijui kama fikira zao uko sawa kweli ???:spider::couch2:
 
Kabla hawajakataa au kukubali ni vyema waisome kwanza na kuielewa na kuichambua kusema ccm na cuf wamefunga ndoa kwenye hili la maslahi ya taifa jamani sio la kupuuza. Ni vyema nao wakasikiliza ushauri
 
Ni bora wailete tuione sote ni wa tanzania ni wamoja tuna mkubali Lipumba. Na mchango wake tuna ukubali pia CUF tunaikubali ni chama makini. Tuacheni mzaaha kwani wabunge wote wa CUF hawaungi bajeti iliyo wasilishwa na mgimwa.

Huku bajeti kivuli imethibitika wazi kuwa ina mapungufu makubwa licha ya Zitto kuomba radhi kwakutoa uwazi wa mapungufu ya bajeti aliyoiwasilisha
 
kumpa lipumba nafasi ili bajeti yake itumike ni suala zuri sana..ila kwa kuwa WAKUBWA hawataki waonekane wao ni WADHAIFU watampotezea kama hawamjui vile...kimsingi mfumo wote wa utawala ni mbovu tena mbovu sana tu..
 
kweli bwanaa umeonge point!
 
Ni bora wailete tuione sote ni wa tanzania ni wamoja tuna mkubali Lipumba. Na mchango wake tuna ukubali pia CUF tunaikubali ni chama makini. Tuacheni mzaaha kwani wabunge wote wa CUF hawaungi bajeti iliyo wasilishwa na mgimwa.

Huku bajeti kivuli imethibitika wazi kuwa ina mapungufu makubwa licha ya Zitto kuomba radhi kwakutoa uwazi wa mapungufu ya bajeti aliyoiwasilisha

ahsante umesomeka mtaalam kweli lipumba ana mchango wake!
 
jamani prof, lipumba anaheshimika duniani kote.. Anaweza akawa na jipya na kutuweka sawa.. Y tusimpe chance afanye mambo sawa!
 
Ni bora wailete tuione sote ni wa tanzania ni wamoja tuna mkubali Lipumba. Na mchango wake tuna ukubali pia CUF tunaikubali ni chama makini. Tuacheni mzaaha kwani wabunge wote wa CUF hawaungi bajeti iliyo wasilishwa na mgimwa.

Huku bajeti kivuli imethibitika wazi kuwa ina mapungufu makubwa licha ya Zitto kuomba radhi kwakutoa uwazi wa mapungufu ya bajeti aliyoiwasilisha

sureee!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom