Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni waziri Mwandamizi wa SMZ ambae ni kada wa CCM ameunga Mkono, UAMSHO kwa mikakati yake ya kutaka muungano wa Zanzibar upitiwe upya na kudai waachiwe Wazanzibar wapumue kutokana na mkandamizo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni TBC1, refa alikuwa Marine Hassan... Sikuconcentrate kwenye points maana najua hakukuwa na jipya. Ila kwenye chorus baadhi ya mambo yalikuwa hivi Mwigulu: Hawa wapinzani wanapotosha umma maana...
9 Reactions
69 Replies
50K Views
Mimi nimejaribu kufuatilia mgogoro wa Kahawa Mkoa wa Mbeya hususani Mbozi ambapo , Mh Godfrey Zambi, Aldolf Kumbulu, Dc wa zamani Kimolo , RC Mwakipesole na wenzake wote ni wafanyabiashara wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajf nipo nasoma hapa nasoma gazeti la LE OBRESS linalochapisha mjini Paris Ufaransa limemtaja katibu wa fedha na uchumi wa CCM ndugu Mwigulu Mchemba kuwa wakati anafanya kazi benki kuu ya...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameunda Kamati Maalum ya mawaziri sita kusaidia mchakato wa marekebisho ya Bajeti ya Serikali ambayo mjadala wake utahitimishwa kesho.Kuundwa kwa kamati hiyo kunazifanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wiki chacha zilizopita nilianzisha uzi hapa JF wa kuahirishwa kwa uchaguzi wa kijiji cha Mwanzo Mgumu, kata ya Msimbu wilayani kisarawe Mkoa wa Pwani ( Nyumbani kwa Baba Riz 1) kutokana na...
19 Reactions
71 Replies
6K Views
hiyo nikauli iliyotolewa na mwanachama wa chadema muda huu.katika kutoa changamoto hzo ameibua swali moja tu kwa hadhira wake linalosema.jiulize tokea uikatae ccm na kuipenda chadema ni muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya wazanzibar kuanza kujadili kuhusu katiba mpya ni lazima madai ya wazanzibar kuhusu kura ya maoni kuhusu muungano yazingatiwe
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Nikiwatimua kwa kuniambia dhaifu mtalalamika? Mwandishi:Charles Misango alhamis, 21 juni 2012 JUMANNE wiki hii, Watanzania waliokuwa wakifuatilia mkutano wa Bunge, walishuhudia Mbunge wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Akiangalia Star Tv wanaonekana Olesendeka na Komba wanagonga story nyuma ya mchanguaji Nimrodi Mkono wakatonywa wakajikausha thn wageuka na kupiga makofi kwa kitu wasichokuwa na uhakika nacho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa, kimetoa tamko rasmi kuhusu mchakato wa uundwaji wa katiba mpya, na kuweka bayana kuwa utaratibu wa zamani wa Rais wa Zanzibar kuwa Makanu wa Rais wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu Mkuu wa Wilaya ya Korogwe bwana Mrisho Gambo amewatangazia wananchi wa Korogwe kuchangia gharama za mwenge kama ifuatavyo Wafanya biashara sh. 5,000.00 mwananchi wa kawaida sh...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
hii imekaaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Wadau, Huku baadhi ya watu, hasa wanasiasa ambao kitaaluma wengi sio wachumi wakionyesha kutoridhishwa na bajeti ya 2012/2013. Mchumi aliyebobea amesema bajeti inawajali sana watoto lkatika afya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bajetiya Seikali:Mamboya kuzingatia ili kukidhi utoshelevu wa bajeti. Ilikuhakikisha bajeti ya serikali ina uwezo wa kukidhi matakwa ya bajeti yaani “Maendeleo” na “matumiziya kawaida” kuna mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna uwezekano mkubwa kwamba katika jitihada zetu za kujikwamua kutoka kwenye umasikini tulio nao, watanzania tunatumia nguvu nyingi sana kukisakama chama cha mapinduzi kimakosa kwa sababu hakina...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu, Naomba usaada wa kupewa na kufafanuliwa sera, mwongozo na utaratibu wa ulipaji kodi kwa makapuni ya kigeni yanayowekeza katika kilimo, na aina ya misamaha ya kodi wanayopewa na ni kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mchango wake bungeni Mh.Deo Filikunjombe baada ya kuchangia mjadala wa bajeti hajaonyesha kuunga mkono hoja na badala yake "indirect "kupinga bajeti ameituhumu serikali kwa kutoweza kutimiza...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Kama kuna wana CCM wanaosaidia kuiangusha Chama chao bila waokujua ni - Lusinde - Mwigulu - Wasira - Komba - JK - Nape - Mukama Nianze kama ifuatavyo Lusinde kutete CCM muda wote Kutukana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom