Source: Ulimboka ana siri nzito
Ulimboka ana siri nzito
ASEMA ATAANIKA KILA KITU BAADAYE, ASEMA ACHWE APUMZIKE, MKUU WA JOPO LA MADAKTARI WANAOMTIBU ASEMA ALING'OLEWA KUCHA, MENO MAWILI NA...
Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.
Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na...
baada ya cwt kuonekana dhahiri kushidwa kutetea maslahi ya walimu, kuna harakati zinaendelea hasa kwa upande wa walimu wa sayansi kuunda chama chao kitakacho tetea maslahi yao hasa ukizingatia wao...
1.Je ni serikali kweli imehusika?
2. Walikusudia kweli kumuua au kumtesa tu?
3.Kwa nini hawakumuua?
4.Kwa nini huo mpango wa mauaji ulipangwa kizembe hivo?
5. Kuna mkono wa mtu au kikundi kingine...
Mwenye taarifa na mtu huyu ninaomba anipe taarifa zake. kwani amekaa kimya bila kusema kitu chochote.kauli zake zinafanana kama mtu wa magamba mara ana badilika anakuwa kama cdm ukimchunguza...
Nimemsikia PM aki-wind up budget speech yake kwa kuzungumzia hatua za kuondoa msongamano wa magari jiji la Dar es salaam. Kasema karibuni utaanza ujenzi wa flyover Tazata, ninalojiuliza wapi...
1. Kauli za kimabavu za viongozi wa juu serikalini si suluhisho la migomo/kero/matatizo ya wananchi. Kinachohitajika ni serikali kujisahihisha na kuanza kuwajibika.
2. Serikali inawajibika tu...
Kiukweli kuna kila dalili kuwa huu utawala hautamaliza muda wake na wananchi kuchukua nchi yao! Fikria mimi mkulima wa pamba nimesota na pamba yangu for so long leo hii naambiwa kilo ya pamba...
Ndugu wapendwa, nimelazimika kuuliza swali hili kwa walimu wa SIMANJIRO baada ya kusikia minong'ono mingi sana ili nisikie walimu wanasemaje. Kilio cha walimu wa wilaya ya Simanjiro ambacho...
Mimi ninayo mengi lakini hili lifuatalo limeniudhi mpaka nikacheka:-
Kwamba miaka ya 70 Benki kuu ilikumbwa na janga la moto, ikadaiwa kiasi kikubwa cha fedha (noti) zimeungua!
Uchunguzi...
Nimeshangazwa na style ya uulizaji wa maswali wa huyu mbunge wa Namanyere Mh. Kessy kwenda kwa waziri mkuu kuhusiana na suala la maji. Na vile vile nimeshangazwa na response ya waziri mkuu...
Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza...
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".
Kwa muono wangu, Mnyika...
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kila serikali inapopitisha bajeti zake huwakandamiza wananchi.Hakuna siku bajeti ya serikali iliwalenga walalahoi katika kuwakomboa kutokana na uduni wa maisha...
Shirikishi la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA limetangaza kuwa kama serikali haitapunguza kodi na kuongeza kima cha chini cha mshahara na kufikia laki 2 watahamasisha mgomo nchi nzima na...
Now that we know the government abducted and attempted to assassinate Dr. Ulimboka what are we going to do?
Two legislators, honorable Zitto Kabwe and Mtatiro have not ruled out the possibility...
Madhira yaliyomfika huyu Kijana mpaka sasa ni wale wenye imani kwamba Uhai ni Mali ya Mungu pekee ndio hawawezi kushangaa kwamba huyu kijana yuko hai mpaka sasa.
Imekuwa jambo la kawaida kabisa...
huyu kamanda wa Polisi wa kanda Maalum Dsm naye ni fisadi tu. Anaporomosha gorofa pale Ilala makutano ya Pangani na Morogoro Streets karibu na Mahakama ya Mwanzo.
Tetesi zilizowahi kuzagaa ni...
Jahkaya alisema ni upepo tu utavuma na utapita na leo hilo linaelekea kudhihirika kwani media zote zimejikita kwenye issue ya mgomo wa madokta na tukio la majasusi ya serekali ya sisiemu kumvamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.