IJUMAA, JUNI 29, 2012 05:57 NA KULWA KAREDIA
RAIS Jakaya Kikwete, amemhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Kimario kimya kimya.
Habari za kuaminika...
mpaka sasa sijaelewa kwa nini kikwete hazungumzii mgomo wa madakitari??? au hili ni jambo dogo kwake?? hospital kuu inafungwa(muhimbili) kitakacho fata ni maandamano ya kuiondoa serikali...
siyo kawaida yangu nichangiapo au kuanzisha thread kutumia lugha ya laana. mazingira yaliyopo yamenilazimu kufanya hivyo. kazi ya udaktari ina miiko yake. inahitaji daktari awe na sifa maridhawa...
Naomba kuuliza wanajamii kwanini ndani ya nchi hii moja kuna utofauti wa kupata haki!
Kwanini Mbunge mshahara wake ni maamuzi tu ya Spika?
Kwanini Mshahara wa mfanyakazi (mahakimu/majaji/watumishi...
Taarifa ambazo zimethibitishwa zinatabanaisha kuwa madaktari walio katika uzoefu kazini, INTERN doctors wameanza kufukuzwa katika hospitali mbalimbali ambapo katika hospitali ya DODOMA madaktari...
Maandamano kwa Dar es Salaam yataanzia karibu kituo cha Haki za binadamu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii kesho saa tatu asubuhi mwambie na mwenzako kama yaliyowapata wapigania haki wengine...
Nimefika sasahivi Zanzibar, ninachokiona LIVE ni mbio za Polisi na Wananchi waliovalia kiarabu cha ajabu wanaelekea North ya Zanzibar town eti Uamsho wanakutana hapo katika Viwanja vya Lumumba je...
William Lukuvi leo mchana wakati anafanya rewinding kujibu hoja za wabunge ameeleza jambo moja kwamba wabunge wa CCM wasitishwe na kitendo cha wapinzani kuzunguka sasa nchi nzima.
Lukuvi...
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi...
wana jf,
Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi...
Dr. Ulimboka hakulazwa kwakuwa ameanguka kwa presha alipokuwa Bungeni,Hotelini au kwenye Kikao cha Mawaziri.Amelazwa kufuatia mateso makali aliyoyapata kutoka kwa watu 'wasiojulikana'.Bado ana...
Si vibaya kwenda mahakamani, ni haki ya kila mmoja. Lakini kwa mgomo huu nadiriki
kusema aliyeishauri serikali kukimbilia mahakamani kachemsha. Kwani siku zote tunajua Tz wanyonge
mahakamani...
Kuna watu wanajiita mitume, manabii na wahubiri maarufu hapa nchini.
Nawaomba mnisaidie kwani ninakabiliwa na utata katika hili. Kwamba natakiwa niitii mamlaka kwani imewekwa na mungu. Hadi sasa...
Binafsi huwa napata taabu sana kuona hawa wabunge wetu wakiendelea kuvumilia na kuangalia mhimili huu kuendelea kuendeshwa na kanuni hizi za bunge ambazo ni mbovu kabisa na zinahitaji marekebisho...
Niko Hapa Tra samora nakata road lincece nimeomba ruhusa kazini tangu asubuhi na mapema,nimewahi kabla hawaja fungua,nimeshalipia bank nasubiri hyo stiker malalamiko nikiyokutana nayo...
Ni kitengo kinachofika kwa kazi hizi cha Uingereza na hata mauaji ya Dr Ouko walifanya uchunguzi hadi Moi alipowasimamisha.
Hadi sasa ushahidi wa kimazingira unaonesha kuhusika kwa dola na vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.