1. Kauli za kimabavu za viongozi wa juu serikalini si suluhisho la migomo/kero/matatizo ya wananchi. Kinachohitajika ni serikali kujisahihisha na kuanza kuwajibika.
2. Serikali inawajibika tu inaposhinikizwa. Bila hivyo imelala usingizi wa pono.
3. Watanzania wameanza kuamka (kuwa na uti wa mgongo) kudai haki zao za kikatiba na hawataki kunyanyaswa.
4. Umoja ni nguvu.
5. Viongozi wa serikali na Watanzania wote kwa ujumla tujifunze kuchukua hatua mapema na siyo kusubiri tatizo liwe kubwa kuzidi uwezo wetu.