Hivi Shibuda kaishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Shibuda kaishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, Jun 29, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 6,965
  Likes Received: 1,291
  Trophy Points: 280
  Mwenye taarifa na mtu huyu ninaomba anipe taarifa zake. kwani amekaa kimya bila kusema kitu chochote.kauli zake zinafanana kama mtu wa magamba mara ana badilika anakuwa kama cdm ukimchunguza vizuri siyo magamba kamili wala siyo cdm kamili.alishawahi kutangaza nia ya kugombea uraisi akiwa ndani ya magamba na kumteua jk kuwa kampeni meneja wake na dr silaa.anatabia ya kuwachimba wenzake vijembe anapokuwa bungeni utafikili ubunge wake hakuupata kupitia tiketi ya cdm.ninamuulizia kwa sababu hajasikika akitangaza nia ya kugombea urais tena. bungeni hasikiki, kwenye baraza kivuli la mawaziri hayupo au amengunduwa kuwa upepo haumwendei vizuri ndio maana ameacha kuwabuda wenzake?.
   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Kwa kikwetu anaitwa ngoromiko ni aina ya jini linatembea usiku huku likibadilika rangi za moto,(shibuda
   
 3. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 629
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  yuko Kwenye msafara wa Lowassa kukagua balozi zetu nje ya nchi!!
   
 4. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,726
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Amegoma naye! Mgomo wake uko tofauti, hataki kujitokeza ktk public na kuongea lolote.
   
 5. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,930
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Mbio za sakafuni huishia ukingoni
   
 6. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hana hadhi ya kutajwa tajwa hadharani kama ambavyo angependa sana yeye iwe. Amepuuzwa kama anavyostahili ndio maana unaona kaishiwa ghafla. Nadhani kupuuzwa ilikuwa ni adhabu stahili kwake huyu mzee asiye na busara wala haya.
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,563
  Likes Received: 9,313
  Trophy Points: 280
  CHIBUDA keshapotezewa hivyo...ndo saahuni
   
 8. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mpuuzi kamfunika na kashfa zake za kipuuzi na mauongozi yao ya upuuzi
   
 9. chubio

  chubio Senior Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yuko kwenye kamati ya ulinzi na lowasa huko nje kukagua balozi zetu
   
 10. L

  Lawalawa Pipi New Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Members of the Parliamentary Committee on Foreign Affairs, Defence and Security left the country for a tour of several embassies ......... while Berlin and Stockholm embassies would be visited by Anna Abdallah, John Shibuda and Augustino Massele.

  Citizen,[TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Bunge committee's trip abroad raises eyebrows
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]end to a friend
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Tuesday, 26 June 2012 23:04
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,964
  Likes Received: 2,695
  Trophy Points: 280
  he has gone his way!!
   
 12. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 42,732
  Likes Received: 8,108
  Trophy Points: 280
  kapotelea msitu wa pande
   
Loading...