Mh pm anataja majina ya wachangiaji wa ofisi yake kwa urefu kwanza anataja majina matatu alafu mtu alipotpka hii inasaidia nini? Je sio mipango maalumu ya kupoteza muda? Toa maoni...
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari...
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo...
Kitendo cha kumtaka Waziri Mkuu Pinda ajiuzulu, Mhe. Lissu hakutenda haki. Pinda mara alipoteuliwa tu kuwa waziri Mkuu alijitambulisha kuwa ni mtoto wa mkulima.
Kusema hivyo haimaanishi kuwa yeye...
Kama kweli mgomo unakuumiza na umeonea huruma wanao kufa na kuteseka serikali kuisubiri mahakama iamue basi sisi wananchi ndio vyote vitatu serikali bunge na mahakama. Tunaamua kuandamaana kuanzia...
Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka si wa kwanza kutokea ndani ya kipindi kifupi toka mwaka 2010
Itakumbukwa uchaguzi wa Igunga, mwili wa mfuasi mmoja wa CHADEMA ulikutwa porini ukiwa na...
Tungeomba mwenye taarifa atujuze kuhusu fidia ya kuvunjwa kwa mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya DOWANS.
Nakumbuka ulijitokeza mjadala mkali na TANESCO wakaenda mahakamani kupinga tozo hiyo. Je...
Taasisi ya Kupambana na kuthibiti Rushwa Nchini TAKUKURU imemkamata aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Ndugu Mamboleo Tery na Aliyekuwa Afisa Elimu wilaya ya Mwanga Mama...
Serikali inajitapa kuwa inajenga barabara wakati Hospitali haina Vifaa tiba
Kama watanzania wagonjwa wakifa kwa kukosa vifaa tiba na dawa.
Serikali imeacha mafisadi wakitamba na hela South...
HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI NA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB) KUHUSU MAPITIO YA KAZI ZA SERIKALI KWA MWAKA 2011/2012 PAMOJA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA...
Najaribu kutofautisha upole na udhaifu. Hivi sisi waTZ ni wapole au wadhaifu!, Mambo mengi yanayofanywa na serikali yetu dhaifu ingekuwa ni nchi nyingine kama kenya tu hapo mfano tungekuwa...
Bunge letu limeendelea kuwa la VITUKO kila uchao! Leo tena Mbunge wa Chama tawala Mh. Martha Mlata kaja na mpya kuwa Mgomo unaoendelea wa madaktari unadhaminiwa na kundi fulani. Hili hakika ni...
KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA
YAH: TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 28.06.2012
Madaktari wote hatuna imani na tume iliyoundwa na Jeshi la polisi...
ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii, Bw. Ezekiel Maige, amefichua siri nzito zilizochangia kung'olewa katika wizara mojawapo ikiwa ni kugusa maslahi vigogo wenye nguvu kubwa na ushawishi wa...
Mods sasa hii ni noma kufuta threads-
Kimsingi wahusika wote husasani madaktari muwe makini, kulinda afya ya dr. Ulimboka, ni wazi atakuwa anatafutwa na watu wenye nguvu, uwezo kifedha na support...
Polisi nchini Tanzania, badala ya kuwalinda raia, wamekuwa wauwaji wakubwa wa raia. Tumechoka, kabla hatujachukua sheria mikononi mwetu kujilinda dhidi ya polisi kupitia nguvu ya umma, tunamuomba...
yamesemwa mengi sana ila mimi nashauri kuwa dr apatiwe matibabu na dokta wa2 au wa3 wakuaminika na hakuna cha salam za wat wala nin na ndugu zake ndie waruhuswe kumuuguza iii itaepusha mchezo...
Kama ni kweli basi itakuwa inasikitisha sana, wananchi mbona tumelala sana? hawa mafisadi na wala rushwa hawawezi kuongoka hivhivi tu. Let us do something for this situation.
Kama serikali imeshindwa kutekeleza mahitaji ya madaktari hadi kufikia uamuzi wa kuweka zana za kazi chini, nilitarajia serikali itoe tamko la kuwatumia waganga wa Jadi katika hospitali zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.