Dr ulimboka akiponea muhimbili, madaktari na wanaokwenda apolo tuwaeleweje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr ulimboka akiponea muhimbili, madaktari na wanaokwenda apolo tuwaeleweje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Jun 29, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Madhira yaliyomfika huyu Kijana mpaka sasa ni wale wenye imani kwamba Uhai ni Mali ya Mungu pekee ndio hawawezi kushangaa kwamba huyu kijana yuko hai mpaka sasa.

  Imekuwa jambo la kawaida kabisa kwenye nchi yetu kusikia viongozi wa serikali, wanasiasa uchwara na watanzania wengine maarufu wa heri na shombo wanakimbilia uko india kupata matibabu baada ya huduma za kitabibu zipatikanazo hapa nyumbani kusemakana hazina uwezo wa kuwapatia wagonjwa hao nafuu wala tiba.

  Sasa najiuliza, huyu kijana akipona na kurudia hali yake ya kawaida tuwaeleweje madaktari na wagonjwa wote ambao hukimbilia India na nchi za Ulaya na Amerika kwa matibabu?
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,288
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Na moja ya madai yao kwenye sababu za mgomo ni kuboreshewa mazingira yao ya kazi ikiwa pamoja na kupata vitendea kazi ili hizi safari za India zikome. Sasa utawashangaa vipi madaktari?
   
 3. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Irrelevant
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wametoa wapi uwezo wa kumpatia huduma za kumrudishia uzima wakati wamekuwa wanashindwa kwa watu wengine, kumbuka majuzi hapa ZITTO kabwe alilazimika kwenda kutibiwa kipanda uso india, au inamaana huwa wako kwenye mgomo isiyo rasmi miaka mingi sana sasa.
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  http://www.youtube.com/watch?v=OQTCZ2qVWTI
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana ugonjwa wake!

  We kweli sato
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Unajua Ulimboka anamatatizo kiasi gani? au umesikia majeraha tu kufikiri kwako kukafikia mwisho?
   
Loading...