TUCTA: Wafanyakazi kugoma nchi nzima kama kodi isipopunguzwa na mshahara kuongezwa

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Shirikishi la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA limetangaza kuwa kama serikali haitapunguza kodi na kuongeza kima cha chini cha mshahara na kufikia laki 2 watahamasisha mgomo nchi nzima na hautakuwa na kikomo mpaka kieleweke.

Concern.
Tucta nao wasipige domo tunataka action kama swala la kupunguza kodi PAYE serikali imegoma ila kuwafutia kodi na kuwapunguzia wafanya biashara sawa tu huu ni upuuzi na udhaifu kwa serikali ya CCM
 
Tucta wanafiki tu..yule mgosi tokea amekua katibu kamili.
vox populi,vox dei
 
Sijui ngoja tusubiri labda kama TUCTA watakuwa wamepata akili,mi nijuavyo hao TUKTA akili hawana kabisa
 
Nchi hii imekuwa ya wafanyabiashara, Nashangaa pale wanapoongeza kodi kwa bidhaa kutoka nje eti kulinda viwanda vya ndani, Nchi ya ajabu hii eti wanatoa kodi katika viwanda vya pamba wakati pamba yenyewe tunayoilima humu ndani bei inapangwa na wenye viwanda hao hao.
Na wana uhakika gani kama wakitoa kodi nguo zinazotengenezwa humu nchini zitakuwa na unafuu kwa mwananchi?
Wakati swala la vifungashio vya maji limewatoa jasho mwaka jana mpaka maji yako bei juu.
yaaaaaaani hii nchi ni ya kitu kidogo na uwa nakereka sana wanavyoapa kwa kutumia vitabu vya dini na hali matendo yao ni tofauti na viapo vyao.
 
Kumekua na utitiri wa wafanyakazi Tenzi hizi za JK, wamekua mzigo mkubwa mno kwa walipa kodi. Dawa ni kuwapunguza, kama administrations za Mwinyi & Mkapa zilivyofanya.
 
Shirikishi la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA limetangaza kuwa kama serikali haitapunguza kodi na kuongeza kima cha chini cha mshahara na kufikia laki 2 watahamasisha mgomo nchi nzima na hautakuwa na kikomo mpaka kieleweke.

Concern.
Tucta nao wasipige domo tunataka action kama swala la kupunguza kodi PAYE serikali imegoma ila kuwafutia kodi na kuwapunguzia wafanya biashara sawa tu huu ni upuuzi na udhaifu kwa serikali ya CCM

TUKUTA ni dhaifu kuliko Raisi . Tena ni vuvzela, Wemekurupuka usingizini? Tunataka action.
 
Hawezi, wanatisha nyau, makamanda ma Drs ndio uwa wanaiweza serikali hii tu, hawaongei sana bt wakiamua wanafanya
 
japo tucta porojo zao nyingi sana...ila nchi hii kishaanza kunuka taratiiibu
IPO SIKU WAKULIMA NAO WATAGOMA
 
TUCTA tatizo nao blah blah nyingi
vitendo sifuri ebu tusubiri safari hii.
 
TUCTA tatizo nao blah blah nyingi
vitendo sifuri ebu tusubiri safari hii.
 
Kila mtu anastahili malipo mazuri lakini pia kila mtu anao wajibu wa kulipa kodi. Unapotaka mshahara upande na kodi ishuke sasa unataka huo mshahara upande utoke wapi.

Haki na wajibu huenda pamoja
 
Kila mtu anastahili malipo mazuri lakini pia kila mtu anao wajibu wa kulipa kodi. Unapotaka mshahara upande na kodi ishuke sasa unataka huo mshahara upande utoke wapi.

Haki na wajibu huenda pamoja

samahani mama naomba uniambie bajeti ya familia ya watu wanne kwa mfanyakazi anaepokea 250000..kwa mikoa ya dar, arusha, shy, mwanza..
 
Kila mtu anastahili malipo mazuri lakini pia kila mtu anao wajibu wa kulipa kodi. Unapotaka mshahara upande na kodi ishuke sasa unataka huo mshahara upande utoke wapi.

Haki na wajibu huenda pamoja

Pole,mimi nilidhani utaunga mkono walau na zile bilioni 300 za uswisi zije kuongezea hayo maslahi ya watumishi,nina wasiwasi huenda wewe ni kati ya wale wanaoishi kwa posho bila kugusa mshahara na km ungekuwa unategemea mshahara usingethubutu kuandika ulichoandika, jua kwamba wafanyakazi wanapigika kwa mikodi inayoliwa na nyinyi
 
Back
Top Bottom