Maswali magumu sakata la Dr. Ulimboka

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
1.Je ni serikali kweli imehusika?
2. Walikusudia kweli kumuua au kumtesa tu?
3.Kwa nini hawakumuua?
4.Kwa nini huo mpango wa mauaji ulipangwa kizembe hivo?
5. Kuna mkono wa mtu au kikundi kingine nje ya serikali eg. Blandina Nyoni?
6. Je serikali kama ndio wamehusika kwa nini wameharakisha hivo na bado waka fail, kwann wasingesubiri mgomo ukaisha?
7.Bado kuna mpango wa kumuua upo au umeahirishwa?
8.Serikali kama ilihusika inakuja na cover story gani kujisafisha?/
9.Haya matukio baada ya tukio yanaashiria nn? mfano usalama wa taifa kukamatwa chooni muhimbili akiwasiliana? mtuhumiwa kumtembelea ulimboka na ulimboka kumtambua??
Hebu tutulize akili zetu tutafakari kama great thinkers tujaribu kupata majawabu!!
 
1;NDIO
2;WLIKUSUDIA KUMUUA
3;MUNGU HAKUPANGA ULI AFE (Daniel ndani ya tundu la Simba wenye njaa)
5;HAPANA HAKUNA KUNDI LINGINE ZAIDI YA SERIKALI
6;SERIKALI HAIWEZI KUMSHINDA MUNGU
7;WAMEPATWA NA KIWEWE MPANGO UMEAHIRISHWA
8;ITAKAA KIMYA KAMA KAWAIDA SI UMEONA PINDA KASHINDWA KUTOA TAMKO JANA BUNGENI
9;MATUKIO HAYA YANAASHIRIA KWAMBA SERIKALI NDIO MHUSIKA MKUU WA TUKIO ZIMA LA UTEKWAJI WA DR ULI

Get well soon Dr Uli
 
Kuna watu walikuwa na madeal makubwa ya kifisadi na wizara ya Afya, wakipata pesa kupitia reagents na machine za HIV, Sare za madaktari na tenda zingine. Mgomo wa madaktari umeathiri biashara zao, Je, hao nao wana nafasi gani kwenye utekaji nyara na uteswaji wa Dr. Ulimboka? Je mgomo wa Madaktari uligusa masrahi yao?
 
Back
Top Bottom